Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Nadhani bado wana penyeza kimtindo madawa ,serikali ikae vizuri na yule mnaita uncle shamte ana genge pia la madawa.....kijiwe chake kiko morogoro misufini na nyuma ya soko jipya ,
Jamaa ni drug dealer kitambo sana .. Ila watu hawajui nawashangaa watu wanaomuitaga marioo .. Yule kwa bi-sandra yupo kwaajili ya mipango yao ya ku-supply powder ..alishawahi kufungwa Pakistan kwa sababu alikuwa anapeleka ngada huko .. So ana connection kibao za kuuza unga that's why kina dai and co. Wakumuweka karibu na wao .. In short wcb yote wanauza unga na ndio issue zinazo wapa pesa mziki ni kivuli tu cha kujifichia .. Na sio Wcb pekee hata alikiba na dimpo ni punda wa Joho 001
 
Ouk sawa nashukuru kwa hilo. But huyu talle tunamtilia shaka couz ameshawahi kukiri hadharan zaidi ya mara 3 kuwa yeye ni mlozi. Mmmmmmh
 
Ni kipi ataanza kujenga kati ya Kaburi na Nyumba?, na kama alikuwa anasubiri Ubunge ndo ajenge kwao basi hata watakaomchagua wamepotea......na WAMEJIPOTEZA hajui wajibu wake na wala si mtu wakutegemewa saana naona kuna vitu vinambeba na si kingine ni Nyota za watu.
 
Eeeh makubwa watu wanajua uncle shamte ni marioo kumbe ana connection kubwa na amewahi kufungwa Hadi jela, hii ya wcb kuuza Ganda naweza Amini hyo ya ommy dimpoz na Ali kiba kumbe ni mapunda wa gavana joho nilikuwa nashangaa Sana urafiki wa kiba, Hadi akaozeshwa mke na sherehe juu. Maana ukiangalia show walizofanya haziendani na vipato vyao
 
Ouk sawa nashukuru kwa hilo. But huyu talle tunamtilia shaka couz ameshawahi kukiri hadharan zaidi ya mara 3 kuwa yeye ni mlozi. Mmmmmmh
Hapa si tunaongelea yeye kuendelea na shughuli zake za kisiasa?
Kwenye swala lake la ulozi hilo lingine kabisa.Na lisemwalo lipo ama halipo.Tena kama aliua kwa malengo haya ni sawa tu amalizie mauchawi yake kabla hayaja expire.
Na hata kama hajafanya faulo yeyote kuendelea na shughuli zake huko moro ni sawa tu.
 
Hilo ni maamuzi yake binafsi sasa.
 
Sorry dea naweza andka vingi but naona hatutaelewan, na pia hatuwez kuwa na mtazamo sawa,
Just tuwe watazamaji muda n mwalimu mzuri sana, tutapata majibu kamili.
 
Vee ameamua kuwa Mkweli asee kuna UTOPOLO Mwingi sana kwenye hivi vitu vinaitwa Sanaa...
 
Ndoa jamani, ndoa jamani huku watu mnamsikitikia kumbe mwenyewe anawaza mengine mmm haya sawa
 
Vee ameamua kuwa Mkweli asee kuna UTOPOLO Mwingi sana kwenye hivi vitu vinaitwa Sanaa...
Naam ndio maisha ya sanaa yalivyo duniani kote ..je haujaisikia ile taarifa iliyo chapishwa na fobes wakadai kwamba Kyle Jenner alitoa fake report kuhusu thamani ya utajiri wake ili aanekane kuwa ndiye tajiri namba 1 kijana duniani . or umesahau

Ila sasa tofauti ya mbele na huku kwetu wenzetu ijapokuwa kuna mambo wana fake lakini katika uhalisia ukwasi wanao kweli but kuna wakati wanakuzwa zaidi ya uhalisia
 
Mleta mada kama vile ana umama kambo Nan hilo jimbo . Nawaza tu
 
Niliwahiona hiyo taarifa ilinishangaza, nakubaliana na wewe kwamba Nje wanatofautiana kidogo na huku sababu ya ubora wa maisha na maendeleo halisi yaliyopo kule, nchi za wenzetu watu wanajielewa hivyo kukosolewa nje nje chaap tu, huku kuna tatizo lengine la uelewa ambalo ndo linapelekea kuwepo na majanga mengine kijamii na hasa kwenye hiyo sanaa yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…