Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
P diddy apewe haraka kadi ya CCM ILE YA UKOMREDI😁😁😁😁We jiongeze kwa maslahi ya taifa, wakifunguka tutawatenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P diddy apewe haraka kadi ya CCM ILE YA UKOMREDI😁😁😁😁We jiongeze kwa maslahi ya taifa, wakifunguka tutawatenga
Hao wakipewa $5mln tu wanaachia nnyeeKama watu maarufu wanaoshinda na diddy wamekandwa ikafika mpaka kwa mwamba Tyson akachomoa ndo hawa wa tandale waliofika mpaka maskani ya diddy chumbani fisrt time wasikandwe?!
Hii miziki yao ina mambo mengi sana+uchafu mwingi,ili uwe maarufu wanapitia mengiKilichompeleka la masimba ni tamaa ya kuipata Tuzo ya Grammy awards. Kama ilivyokuwa kwa wizkid, na Burna boy wa Nigeria mana mzee wa upako ni mhusika kwenye hizo tuzo.
Ila kuna kitu cha kujiuliza zaidi ya kuwaza kuhusu kupakana mafuta tu, je faida gani ye Hupata mbali na burudani tu kiasi cha kumfanya atoe pesa kwa celebretes wanaoenda chumbani kwake?🤔
Em niwaze Vipi kama anatumia wageni wa party yake kama sehemu ya soko lake la kuwauza wasichana na vijana wakiume kwa wamama na kwa wanaume wenzao ambao ni mashoga na hao macelibretes wanaoendaga huenda kuwa ni sehem ya wateja wake!🤔
Ila nawaza pia ni Vipi kama anafanya mapenzi na wasanii wakubwa kisha anawalazimisha wawe mawakala wake wa biashara haramu za human trafficking kwa wanawake wazuri na vijana wenye mvuto ambao yeye huwatumia kama bidhaa kwa wateja wake?🤔
Vipi kama anawalazimisha watu wawe mawakala wa kusambaza dawa za kulevya duniani kwa kuwatishia dhidi ya picha chafu alizonazo za hao watu mashuhuri??🤔
Mana haimake sense kama ye atoe pesa tu awagonge wenzake alafu iwe basi tu!
Ila itafahamika tu 😂
Kabisaa hao kwa diddy ni kama kuku wa kienyejiHao wakipewa $5mln tu wanaachia nnyee
Ova
Nawaza kumbe wale madogo wa Mbagala na Mwanayamala tunawaonea sana.Kama watu maarufu wanaoshinda na diddy wamekandwa ikafika mpaka kwa mwamba Tyson akachomoa ndo hawa wa tandale waliofika mpaka maskani ya diddy chumbani fisrt time wasikandwe?!
Kila mtu anamkamata mnyonge wake,mjini kuna vijana wakipewa crown athletic na iPhone 14,sjui 20Nawaza kumbe wale madogo wa Mbagala na Mwanayamala tunawaonea sana.
Wenye hela na umaarufu wanadinywa sas aitakuwaje kwa hawa kajamba nani wanashinda na njaa wanalalia Kipande cha mkate na miguu ya kuku?
Hata Mimi najiuliza hapaKilichompeleka la masimba ni tamaa ya kuipata Tuzo ya Grammy awards. Kama ilivyokuwa kwa wizkid, na Burna boy wa Nigeria mana mzee wa upako ni mhusika kwenye hizo tuzo.
Ila kuna kitu cha kujiuliza zaidi ya kuwaza kuhusu kupakana mafuta tu, je faida gani ye Hupata mbali na burudani tu kiasi cha kumfanya atoe pesa kwa celebretes wanaoenda chumbani kwake?🤔
Em niwaze Vipi kama anatumia wageni wa party yake kama sehemu ya soko lake la kuwauza wasichana na vijana wakiume kwa wamama na kwa wanaume wenzao ambao ni mashoga na hao macelibretes wanaoendaga huenda kuwa ni sehem ya wateja wake!🤔
Ila nawaza pia ni Vipi kama anafanya mapenzi na wasanii wakubwa kisha anawalazimisha wawe mawakala wake wa biashara haramu za human trafficking kwa wanawake wazuri na vijana wenye mvuto ambao yeye huwatumia kama bidhaa kwa wateja wake?🤔
Vipi kama anawalazimisha watu wawe mawakala wa kusambaza dawa za kulevya duniani kwa kuwatishia dhidi ya picha chafu alizonazo za hao watu mashuhuri??🤔
Mana haimake sense kama ye atoe pesa tu awagonge wenzake alafu iwe basi tu!
Ila itafahamika tu 😂
Haya mambo ya duniani haya 🤮Hata Mimi najiuliza hapa
Wewe mshikaji utanipasua bandama🤣🤣🤣🤣Hao wote waliyoenda washapelekewa moto,waliambiwa tu si mnataka umaarufu na fedha Acha niwapakae mafuta niwachomek3ni mkunyenge
Mambo yenu yatakuwa mukide
Hao lazima wameliwaa tu
Si unasikia miziki yao wanayoimba
Mara nasikia genye, sjui npeleke moto,npake mafuta...yote inadhirihishaaa washapasuliwa
Ova
🤔🤔🤔Bongo umaskini wetu ni WA kwenye mifupa, yaaan mbavyo shadadia ishu ya mondi na pdidy Mara sijui Salam sk yaan hata sielewi Kuna faida gani mnapata... Nyie mtakua mmetumwa sio Bure, maana kama taifa Kuna mengi ya kujifunza ama kufundishana Ili taifa lisonge mbele ila nyie ni kama mna ajenda ya kuhribu dhima ama lengo la majukwaa haya Kwa kuanzisha mada zisizo kuwa na faida yoyote Kwa wengine... Nyie sio watu wa kawaida, na msitumike ivyo mtajilaumu sana badae... Majuto ni mjukuu!
We jamaa hovyo kabisa, sasa wewe kwenye huu uzi unatafuta nn au una mpango wa kujutia pia.Bongo umaskini wetu ni WA kwenye mifupa, yaaan ambavyo mnashadadia ishu ya mondi na pdidy Mara sijui Salam sk yaan hata sielewi Kuna faida gani mnapata... Nyie mtakua mmetumwa sio Bure, maana kama taifa Kuna mengi ya kujifunza ama kufundishana Ili taifa lisonge mbele ila nyie ni kama mna ajenda ya kuhribu dhima ama lengo la majukwaa haya Kwa kuanzisha mada zisizo kuwa na faida yoyote Kwa wengine... Nyie sio watu wa kawaida, na msitumike ivyo mtajilaumu sana badae... Majuto ni mjukuu!