Babu Tale na Diamond Platinumz mbona Mwenzenu Bondia Tyson kakiri kuwa P Diddy alitaka Kumshika paja akashtuka ila nyie hamfunguki zaidi kama Yeye?

Babu Tale na Diamond Platinumz mbona Mwenzenu Bondia Tyson kakiri kuwa P Diddy alitaka Kumshika paja akashtuka ila nyie hamfunguki zaidi kama Yeye?

Hili suala sielewi kwanini jamaa anawafanyia mastaa wenzake hio michezo.

Ni kama maagano ya ushetani ya yeye kutanirika zaidi? Au kwake ndio starehe zake? Au akiwalawiti ndipo wanapata mafanikio kishirikina?

Haya masuala yanafikirisha sana...
Ni TZ tu ndio hatuijui Marekani. Kwa wenzetu katika utamaduni wao hayo ni mambo ya kawaida.
Holly wood hayo mambo ni ya kawaida sana. Ukiitwa Holly wood jiandae kwa hayo.

Marekani kimsingi sio nchi ya kuigwa, nawashangaa wanaosema kila siku, eti kama Marekani, au Marekani imefanyi hivi nasi tuko hivi... Ahaaa acha tu. Nenda ujionee
 
Bondia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy umemgusa kwenye mapaja yake, Tyson alishituka sana kisha akauondoa mkono huo haraka sana na akakaa mbali naye, baada ya Kipindi kuisha alimfata Diddy na akamuambia kuwa yeye ni Chui na Chui hawalaliwi.

"During a talk show on live tv, he (Diddy) started making body contacts, as in placing his hands on my laps. In my heart, I was like; "what a F*! what is this nigha doing?"

I was almost losing my steeze when I jokingly removed his hands and shifted myself away from him and we both laughed over it.

Pia soma: Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

But after the show, when we were off cam, I walked up straight to him and i said.

"LOOK MAN, LETS RESPECT BOUNDARIES, I AM A TIGER and TIGERS DONT GET LAID"----Tyson.

Chanzo: Mitandao ya Ulaya

Kwa utafiti wangu mdogo tu nahisi P Diddy kawachana pia Marinda Mastaa wengi sana Duniani hadi wanaokanusha.
Dainamo ndani
 
Tukibali tukatae kwenye hii dunia Kuna mafanikio makuu mawili la kwanza kumtegemea mungu na anakupa kwa kufanya kazi na juhudi Hilo lingine ni la shetani aka lusifa aka illuminati sasa Hilo la pili anakupa utajiri lakini wa mashart na lazima akikupa yeye ndio anakupa mwongozo na siku zote shetani Hani mwongozo mzuri lazima ufanye mambo ya ajabu na jamii lazima ishangae na dunia sasa ni kama haya ya didy
 
nyumbqni dia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy umemgusa kwenye mapaja yake, Tyson alishituka sana kisha akauondoa mkono huo haraka sana na akakaa mbali naye, baada ya Kipindi kuisha alimfata Diddy na akamuambia kuwa yeye ni Chui na Chui hawalaliwi.

"During a talk show on live tv, he (Diddy) started making body contacts, as in placing his hands on my laps. In my heart, I was like; "what a F*! what is this nigha doing?"

I was almost losing my steeze when I jokingly removed his hands and shifted myself away from him and we both laughed over it.

Pia soma: Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

But after the show, when we were off cam, I walked up straight to him and i said.

"LOOK MAN, LETS RESPECT BOUNDARIES, I AM A TIGER and TIGERS DONT GET LAID"----Tyson.

Chanzo: Mitandao ya Ulaya

Kwa utafiti wangu mdogo tu nahisi P Diddy kawachana pia Marinda Mastaa wengi sana Duniani hadi wanaokanusha.
Watu weusi tuna roho mbaya Sana, akitokea mmoja wetu akawa tajiri,tunamchukia balaa, tunatamani ashuke awe kama Sisi, ndio furaha yetu, sasa hv kila meaning, wengine ni kenge tu, hata apartment ya 150K inawashinda, wanapost video, kumkejeli Mond, kuwa inawezekana alitatuliwa malinda na P didy alipoalikwa nyumbani kwake, hz story hazina uthibitisho ni maneno tu ya mtaani, na kenge wa bongo wenye maisha magumu, wamepata cha kupotezea muda, badala ya kuziangalia shida zao na Koo zao, wanaona Bora wamzungumzie Mond na kashfa mbaya
 
1000046402.jpg
 
Hao wote waliyoenda washapelekewa moto,waliambiwa tu si mnataka umaarufu na fedha Acha niwapakae mafuta niwachomek3ni mkunyenge
Mambo yenu yatakuwa mukide

Hao lazima wameliwaa tu

Si unasikia miziki yao wanayoimba
Mara nasikia genye, sjui npeleke moto,npake mafuta...yote inadhirihishaaa washapasuliwa

Ova
Hakika.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work
 
Mambo mengine we jiongeze tu. Mtu anasema walipoenda usiku walifanya mambo mengi ambayo hawezi kuongea kwenye media sasa hapo unategemea nini? Mara anajiita atakuwa tajiri namba moja duniani halafu unasikia kabisa kwamba diddy akipenda kizibo anakula dola milioni 😄😄 mchizi alivyo na tamaa Yule aziache japo hakupewa hizi lambda alidanganyishiwa kupewa Grammy.
 
Attachments

  • 20240925_113914.jpg
    20240925_113914.jpg
    93.9 KB · Views: 5
Kilichompeleka la masimba ni tamaa ya kuipata Tuzo ya Grammy awards. Kama ilivyokuwa kwa wizkid, na Burna boy wa Nigeria mana mzee wa upako ni mhusika kwenye hizo tuzo.

Ila kuna kitu cha kujiuliza zaidi ya kuwaza kuhusu kupakana mafuta tu, je faida gani ye Hupata mbali na burudani tu kiasi cha kumfanya atoe pesa kwa celebretes wanaoenda chumbani kwake?🤔

Em niwaze Vipi kama anatumia wageni wa party yake kama sehemu ya soko lake la kuwauza wasichana na vijana wakiume kwa wamama na kwa wanaume wenzao ambao ni mashoga na hao macelibretes wanaoendaga huenda kuwa ni sehem ya wateja wake!🤔

Ila nawaza pia ni Vipi kama anafanya mapenzi na wasanii wakubwa kisha anawalazimisha wawe mawakala wake wa biashara haramu za human trafficking kwa wanawake wazuri na vijana wenye mvuto ambao yeye huwatumia kama bidhaa kwa wateja wake?🤔

Vipi kama anawalazimisha watu wawe mawakala wa kusambaza dawa za kulevya duniani kwa kuwatishia dhidi ya picha chafu alizonazo za hao watu mashuhuri??🤔

Mana haimake sense kama ye atoe pesa tu awagonge wenzake alafu iwe basi tu!

Ila itafahamika tu 😂
Point muhimu sana fact tupu umeongea kuna chain kubwa tutajua swala la muda
 
Bondia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy umemgusa kwenye mapaja yake, Tyson alishituka sana kisha akauondoa mkono huo haraka sana na akakaa mbali naye, baada ya Kipindi kuisha alimfata Diddy na akamuambia kuwa yeye ni Chui na Chui hawalaliwi.

"During a talk show on live tv, he (Diddy) started making body contacts, as in placing his hands on my laps. In my heart, I was like; "what a F*! what is this nigha doing?"

I was almost losing my steeze when I jokingly removed his hands and shifted myself away from him and we both laughed over it.

Pia soma: Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

But after the show, when we were off cam, I walked up straight to him and i said.

"LOOK MAN, LETS RESPECT BOUNDARIES, I AM A TIGER and TIGERS DONT GET LAID"----Tyson.

Chanzo: Mitandao ya Ulaya

Kwa utafiti wangu mdogo tu nahisi P Diddy kawachana pia Marinda Mastaa wengi sana Duniani hadi wanaokanusha.
Tale alipata mpaka hela za kuhonga wapiga kura
 
Point muhimu sana fact tupu umeongea kuna chain kubwa tutajua swala la muda
Hivi unaanzaje kutoroka kwenye hili jumba bila mwenyewe pdidy kuwaruhusu maana ulinzi kila Kona. Hawa jamaa waseme Tu ukweli
 
Attachments

  • 20240927_001118.jpg
    20240927_001118.jpg
    59.9 KB · Views: 7
Back
Top Bottom