Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Tafuta hiyo clip akiwa anaelezea hilo tukio, dunia imefika mbali sana.Hizi story nyingine nazo, yaani we kweli Dunia hii kuna mtu anaweza kumbaashia Tyson?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta hiyo clip akiwa anaelezea hilo tukio, dunia imefika mbali sana.Hizi story nyingine nazo, yaani we kweli Dunia hii kuna mtu anaweza kumbaashia Tyson?
Alienda kuangalia movieMkuu wamesema waliishia Chumbani wewe unataka kujua nini zaidi?
Hiyo hapo na tyson mwenyewe kasibitisha ...sasa huyo daimond wenu mtoboa masikio na kuvaa magauni mnadhsni atatoka salama kwa mwamba p diddy thubutuuuuHizi story nyingine nazo, yaani we kweli Dunia hii kuna mtu anaweza kumbaashia Tyson?
Nimecheka mpaka basi Mkuu.Hao wakipewa $5mln tu wanaachia nnyee
Ova
Kwa Kashfa hii Kubwa vipi mwakani utagombea tena huo Ubunge wako hapo Morogoro au utaachana nao? P Diddy kweli Kiboko.Bongo umaskini wetu ni WA kwenye mifupa, yaaan ambavyo mnashadadia ishu ya mondi na pdidy Mara sijui Salam sk yaan hata sielewi Kuna faida gani mnapata... Nyie mtakua mmetumwa sio Bure, maana kama taifa Kuna mengi ya kujifunza ama kufundishana Ili taifa lisonge mbele ila nyie ni kama mna ajenda ya kuhribu dhima ama lengo la majukwaa haya Kwa kuanzisha mada zisizo kuwa na faida yoyote Kwa wengine... Nyie sio watu wa kawaida, na msitumike ivyo mtajilaumu sana badae... Majuto ni mjukuu!
Ina maana Mkuu hujamjua huyo ni nani? Mwakani nachukua Fomu ili Kushindana nae Kugombea Ubunge huko Jimboni Kwake Morogoro aliko sasa.We jamaa hovyo kabisa, sasa wewe kwenye huu uzi unatafuta nn au una mpango wa kujutia pia.
Wabongo bhana.
Huwa mnapata wapi muda kuwajibu Wapumbavu na Washamba kama huyo uliyemjibu Mkuu?Tafuta hiyo clip akiwa anaelezea hilo tukio, dunia imefika mbali sana.
jay z kafanyaje tena...naye hizo ndo kazi zake!!!Hili jambo limekuwa kubwa kwasababu watu wengi sio wafuatiliaji wa conspiracy theories, Lakini ni mambo ya kawaida kwa industries za muziki na sanaa hapa duniani.
Huyo P didy ni cha mtoto, mwamba ni Jay Z na ukitaka kujua hilo muulize Justin Bieber kilicho mkuta.
I know it's hard to believe this, Lakini Jaz z ni mbaya zaidi kuliko wote. Imagine mtu anakunywa hadi damu za watoto ( Adrenochrome) Kama ushawahi kusikia hiyo kitu.jay z kafanyaje tena...naye hizo ndo kazi zake!!!
Najaribu kuwaza mtu tajiri kama huyu,hivi unapomuuza mtu akatumike kingono na mtu mwingine inamlipa yeye kiasi gani?kuna kitu hata mimi nakiona hapo,inawezekana akishatembea na mtu na kuchukua video ya tukio,anakupa assignment ya wewe kumsafirishia au kumuuzia dawa za kulevya au hata kukublakmail kwa vitisho kuwa ukikataa masharti yake anatuma hizo video chafu mitandaoni...Kilichompeleka la masimba ni tamaa ya kuipata Tuzo ya Grammy awards. Kama ilivyokuwa kwa wizkid, na Burna boy wa Nigeria mana mzee wa upako ni mhusika kwenye hizo tuzo.
Ila kuna kitu cha kujiuliza zaidi ya kuwaza kuhusu kupakana mafuta tu, je faida gani ye Hupata mbali na burudani tu kiasi cha kumfanya atoe pesa kwa celebretes wanaoenda chumbani kwake?🤔
Em niwaze Vipi kama anatumia wageni wa party yake kama sehemu ya soko lake la kuwauza wasichana na vijana wakiume kwa wamama na kwa wanaume wenzao ambao ni mashoga na hao macelibretes wanaoendaga huenda kuwa ni sehem ya wateja wake!🤔
Ila nawaza pia ni Vipi kama anafanya mapenzi na wasanii wakubwa kisha anawalazimisha wawe mawakala wake wa biashara haramu za human trafficking kwa wanawake wazuri na vijana wenye mvuto ambao yeye huwatumia kama bidhaa kwa wateja wake?🤔
Vipi kama anawalazimisha watu wawe mawakala wa kusambaza dawa za kulevya duniani kwa kuwatishia dhidi ya picha chafu alizonazo za hao watu mashuhuri??🤔
Mana haimake sense kama ye atoe pesa tu awagonge wenzake alafu iwe basi tu!
Ila itafahamika tu 😂
Harafu nilikuwa najua hizi ni stori tu za udaku....kumbe kweli walifika kwa Didi hadi nyumbani?
Teh teh teh teh 😃 😃 dah!...