Babu Tale na Diamond Platinumz mbona Mwenzenu Bondia Tyson kakiri kuwa P Diddy alitaka Kumshika paja akashtuka ila nyie hamfunguki zaidi kama Yeye?

Hili suala sielewi kwanini jamaa anawafanyia mastaa wenzake hio michezo.

Ni kama maagano ya ushetani ya yeye kutanirika zaidi? Au kwake ndio starehe zake? Au akiwalawiti ndipo wanapata mafanikio kishirikina?

Haya masuala yanafikirisha sana...
Ni TZ tu ndio hatuijui Marekani. Kwa wenzetu katika utamaduni wao hayo ni mambo ya kawaida.
Holly wood hayo mambo ni ya kawaida sana. Ukiitwa Holly wood jiandae kwa hayo.

Marekani kimsingi sio nchi ya kuigwa, nawashangaa wanaosema kila siku, eti kama Marekani, au Marekani imefanyi hivi nasi tuko hivi... Ahaaa acha tu. Nenda ujionee
 
Dainamo ndani
 
Tukibali tukatae kwenye hii dunia Kuna mafanikio makuu mawili la kwanza kumtegemea mungu na anakupa kwa kufanya kazi na juhudi Hilo lingine ni la shetani aka lusifa aka illuminati sasa Hilo la pili anakupa utajiri lakini wa mashart na lazima akikupa yeye ndio anakupa mwongozo na siku zote shetani Hani mwongozo mzuri lazima ufanye mambo ya ajabu na jamii lazima ishangae na dunia sasa ni kama haya ya didy
 
Watu weusi tuna roho mbaya Sana, akitokea mmoja wetu akawa tajiri,tunamchukia balaa, tunatamani ashuke awe kama Sisi, ndio furaha yetu, sasa hv kila meaning, wengine ni kenge tu, hata apartment ya 150K inawashinda, wanapost video, kumkejeli Mond, kuwa inawezekana alitatuliwa malinda na P didy alipoalikwa nyumbani kwake, hz story hazina uthibitisho ni maneno tu ya mtaani, na kenge wa bongo wenye maisha magumu, wamepata cha kupotezea muda, badala ya kuziangalia shida zao na Koo zao, wanaona Bora wamzungumzie Mond na kashfa mbaya
 
Hakika.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work
 
Mambo mengine we jiongeze tu. Mtu anasema walipoenda usiku walifanya mambo mengi ambayo hawezi kuongea kwenye media sasa hapo unategemea nini? Mara anajiita atakuwa tajiri namba moja duniani halafu unasikia kabisa kwamba diddy akipenda kizibo anakula dola milioni πŸ˜„πŸ˜„ mchizi alivyo na tamaa Yule aziache japo hakupewa hizi lambda alidanganyishiwa kupewa Grammy.
 

Attachments

  • 20240925_113914.jpg
    93.9 KB · Views: 5
Point muhimu sana fact tupu umeongea kuna chain kubwa tutajua swala la muda
 
Tale alipata mpaka hela za kuhonga wapiga kura
 
Point muhimu sana fact tupu umeongea kuna chain kubwa tutajua swala la muda
Hivi unaanzaje kutoroka kwenye hili jumba bila mwenyewe pdidy kuwaruhusu maana ulinzi kila Kona. Hawa jamaa waseme Tu ukweli
 

Attachments

  • 20240927_001118.jpg
    59.9 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…