Babu Tale na Salam Sk wamekuwa Mameneja wa hovyo sana wanaombebesha Diamond mzigo wa migogoro na media

A

Au they are taking us for a ride kwa kupeana kicks???
si wengi wetu tuna penda umbea... hawa wame piga waandishi hakuna wa kukemea zaidi ya mange kukemea... hata vyama vya haki za nani sijui, vya siasa, vya umoja wa waandshi sijui wahariri, wameacha mambo yaende...

sina taarifa kama wasafi pia wamekemea hili...! kama sio kiki hizi au kwa kuwa kuna bosi mwingine anae ishi dubai kuwa na sauti juu ya brand partner wake mondi kupelekea kumkingia kifua ni nini...?

hapa kuna usaniii tu na maigizo mengi yasiyo isha... ndio maana Zari ana wacheka kwa kuwa ana jua kuwa kiki ni sehemu ya kazi... na labda ana shirikishwa na meneja ana mpanga mke ili kunusuru ndoa za watu, tumeona kwa wolper, van boy na wengine... lakini wengine hawa jiulizi maswali mbona hawa wana wake zao na wengine wana watoto... je ndoa zao mbona ndio kwanza zina kuwa imara badala ya kuvunjika...?

je ungekuwa wewe unge weza kuimili maneno na umalaya wa mwenza wako...? ukiletewa magonjwa au ni njaa zako zina kufanya kung'ang'ania... mbona mwanzo ulikuwa na mtu mwenye pesa zaidi ya huyu wa sasa?
 
Ukitazama haya mambo kwa jicho la tatu inaonekana these people are taking us Tanzanians for granted-wanatupindua pindua kama wanavyotaka wakijua we will always fall for it-lack of exposure has been our undoing
 
jamani mi nawatetea hawa maneneja wa diamond .....ukiona mpk wameanza kuandika vijembe instagram ujue kuna mengi sana walivumilia na sasa uvumilivu umefka mwisho mi naamini km wamefikia hatua wameamua kufunguka ina maana walishafanya kila linalowezekana ili huu mgogoro uishe lkn imeshindikana tht y wameamua kuja kwa wananchi ili wapate sympath inaoweza kuwasaidia huko mbeleni
 
Salam alikuwa na akili mwanzoni miaka inavyoenda ndo anaharibikiwa. Babu tele naye anaganga njaa tu.

Na Kwa yale waliyomfanyia yule mama South. Familia nzima kuhamia kwake halafu wakaja kumgeuka, naona bado. Mikosi itawafuata tu.
 
Tale hajamfikisha Dimond popote.....Kama Tale Ana nguvu ya kufikisha watu kwenye level ZA Dimond mbona miaka yote hakuwafikisha huko kina Tunda,Madee na watoto wengine wa Tip Top?!

Tale ni mnyonyaji tu aache unafiki na kimbelembele
 
Ifike hatua sasa clouds wasiwe wanaendesha mziki wetu wa bongoo ..ila these time wamekutana na zege gumu ,ngoja tuone mwisho wake ila kumshusha msaniii km diamond kuna kazi kidgo.
 
Yani asikwambie mtu, ingawa watu wanadisi kwamba unaweza kua na elimu lakini ila huna pesa, kuna connection point ya msingi ni hii shida ni kwamba mameneja wa diamond hawana elimu, kama hauna elimu hata ufanikiwe vipi kina viroja tu vile vya kutokuenda shule utavifanya na watu watajiuliza ebana huyu mtu ana tatizo gani? Tatizo ni kua huyu mtu hajaelimika ndo mana anafanha vitu vya kipuuzi kabisa
 
Ukiangalia hoja za Sallam amesema hawana ugomvi na Clouds bali na Ruge Mutahaba. Hili andiko ni upotoshaji.
 
Ruge ni jipu. Sio kwenye kazi mpaka mapenzi. Ana matatizo sana ndio maana hana nuru wala hanenepi. Kila siku yeye mbna kusaga hatajwi wakat ndio mmiliki wa CMG.

Hii saga inavyoendelea watu wengi wataumbuka. Kijana wa watu kila siku wanamuundia zengwe. Walikuja na hoja ya kusafisha kiti, diamond yuko wapi mpk leo. Wakamuundia tume ya kumzomea na kumrushia machupa. Diamond ndio anazidi kupaa. Hakuna zaidi ya Mungu. Wanaoabudu watu nao waendelee. Diamond ni masikini jeuri. Na bila ya kua masikini jeuri mbona utanyanyasika sana. Kataa kua KAA
 
Talle kadandia mafanikio arudi zake Tip top kulee waliomfikisha hapo Diamond ni Ruge na Shigongo
 
Vipi kuhusu mh diwani? I mean mkubwa fella, yeye hana tatizo na Ruge au CMG in general?
 
walikuwa wanatafutana kitambo tu hawa....hata ushirikiano wao ulikuwa wa kinafiki tu.
 
kama youtube na insta na Facebook bado zipo haijaalishe ao mediashithol wakandiy tu wale wasani wachanga sio wcb
 
Ruge na shigongo ndio watu waliomfanya Diamond awe alipo sasa kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki hilo utakuwa unalipata vema ruge ndiyo alikuwa anamiandalia Diamond vitu vya tofauti kama show ya Diamond forever, connection za kuimba BBA , kipindi kile tale alikuwa meneja kivuli mtumikakati alikuwa ni ruge. Upande wa ahigongo kumbuka alivyokuwa anaandaa show dar live huku akizipa promo mwezi mzima na kumpa jamaa offer mara kuingia uwanjan na helcopter mara lift ukumbini

Sema nini dogo baada ya kurubuniwa na mako ndipo shida ilipoanza
 
Kumbuka hawa ni wasanii wanaishi maisha ya kisanii pia
 
Sallam na Tale ni watu muhimu sana kwa diamond na wcb kuliko mnavyo fikiria, ila mwisho wa clouds ni WCB Radio na Tv
 
meneja mjinga anapanic kwa ujinga anaojazwa na dancer aliyetoka kufanya kikao na Bashite.

eti nia ni kumshusha Diamond.
 

Wamekataa kua kaa
 
Sallam na Tale ni watu muhimu sana kwa diamond na wcb kuliko mnavyo fikiria, ila mwisho wa clouds ni WCB Radio na Tv
Unajidanganya hiyo radio na tv

Mwambieni moze iyobo amalizane na shilawadu yeye kaliingiza kwa wasafi kutafuta huruma walivyowajinga nao wamelibeba

Chriss brown alimtwanga rihanna sheria za nchi zilisimama kama kawaida hata iyobo anakosa la kujeruh halihusian na wasafi sisi ni wepes wa kudanganywa clouds kwa hili mnawaonea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…