Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Diddy mtu mbadi
FB_IMG_1727533559798.jpg
 
Don't try to demonise every person that just interacted with Didi. Don't be too naive to an extent of also participating in bringing down every black person who has influence or money. You helping them bring down your own kind
 
Mr. Platinum amealikwa kwenye party New York.
Watu wanamlaumu sana.
Nimetazama video baada ya video ya hawa watu wanaosema,"Shame on you Diamond"
Lakini sijaona tatizo liko wapi .
Sijaona explicit statement ya penetration.
Halafu kama una hakika mtu amefanya kosa,lakini unamshutumu unasema,"Nina mashaka umefanya kosa" haina maana,sasa wewe una hakika au una mashaka?
Yaani hilo kosa lake unataka uliseme baadaye?
 
Mr. Platinum amealikwa kwenye party New York.
Watu wanamlaumu sana.
Nimetazama video baada ya video ya hawa watu wanaosema,"Shame on you Diamond"
Lakini sijaona tatizo liko wapi .
Sijaona explicit statement ya penetration.
Anatumika na P Did......kupata freemason na pesa......mapenzi jinsi moja
 
Mr. Platinum amealikwa kwenye party New York.
Watu wanamlaumu sana.
Nimetazama video baada ya video ya hawa watu wanaosema,"Shame on you Diamond"
Lakini sijaona tatizo liko wapi .
Sijaona explicit statement ya penetration.
Teh teh Penet......nini? 🙂
 
Back
Top Bottom