Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

wameanza kujitaja
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani huyu P.diddy ana nini hasa special mpaka wasanii wajikombe kwake?

Kwanini wasanii watake kumtumia yeye tu ili kupanda kimuziki?

Naona utetezi umekua mrefu sana ila wakubwa tumesha elewa.
Ni tajiri wa pili kutoka Jay-Z
Ila naona kwa kuwa aliingia kwenye umalaya na madawa ya kulevya ambayo vijana wengi wanayapapatikia vya bure
Hiyo imemfanya wasanii wakiomba wapige show au kupanda jina ndio anatumia mwanya huo
Mbona tajiri wa kwanza hana makuu?
 
Waliingia bwana, tena walimkuta amevaa taulo tu. Akauliza Diamond ni nani, wakajaribu kumtambulisha lakini hakumfahamu, Diamond akajaribu kuimba lakini jamaa aka diss mpaka baadaye ikabidi wamstie Diamond amuonyeshe video za shoo zake. Pdiddy akamuuliza kama anataka kutoka kweli, alipokubali Pdiddy akamfukuza yule dada aliyekuwa akimfanyia massage😅
 
Hawa watu walikosa sana ustaarabu, unaalikwa kwa P Didy halafu unaondoka bila kuaga ni tabia ya aina gani hiyo ?
 
oWatu kumbe mna info hatari....aisee sasa pale didi alikula uroda gani maan jamaa kakaukaaa
Sasa Didy ndio anapenda waliokosa nyama hao na si umesikia aliwaita chumbani wakaangalie tv? Alafu Tale alivyo zwazwa eti oooh jamaa akatukataza hivi kweli mtoto wa kiume uitwe na kidume mwenzio njoo chumbani tuangalie movie na sebuleni ipo pia ? Masikini Tandale president
 
Wameshaanza kujikanyaga, maelezo ya mwanzo ndio ya kweli haya mengine wanataka kuficha ficha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…