Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ukimsikiliiza Chai Jaba na huyu Manager, kama wanapisha maelezo yao vilee!, ila yote 9, kumi Dunia ipo kiganjani.Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P.Diddy.
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
View attachment 3106362
Hamtaki kusikia ukweli au mmezoea kudanganywa tuuMbunge wa Bunge la Tanzania anaongea hivi ππ
Kama nchi tunafeli sana
Ukituuliza sisi unatuonea sana ngoja tumuulize Rais wa TandaleHuyu didy ana nguvu gani?
Inasikitishaa hakuna aliyeresist kabisa..Inamaana Mondi na meneja wake wameliwa wote
Didy ni shem wetu hata km ni ngumu kumeza, yawezekana hakukutwa sealed hilo 1 au kaliwa kwa ahadi kemkem hazikutekelezwa, kwani ni mara ngapi mmekula wanawake kwa ahadi za uongo?Angeliwa asingestruggle kulikamata soko la marekani, so imani yangu inaniambia hakuliwa huyo dogo ila yule mnigeria nnamashaka nae ππ
Je ni mambo gani waliyoyafanya ambayo Mond mwenyewe alisema hayapaswi kuwekwa public?Angeliwa asingestruggle kulikamata soko la marekani, so imani yangu inaniambia hakuliwa huyo dogo ila yule mnigeria nnamashaka nae ππ
We huogopi..! hata mimi nisingeaga mbio nyingi sana ningetimua..Hawa watu walikosa sana ustaarabu, unaalikwa kwa P Didy halafu unaondoka bila kuaga ni tabia ya aina gani hiyo ?
ππAngeliwa asingestruggle kulikamata soko la marekani, so imani yangu inaniambia hakuliwa huyo dogo ila yule mnigeria nnamashaka nae ππ
Daah inaniwia vigumu kuamini ujue ila sasa nikiskiliza ile clip yake kwamba waliyofanya mengine ni siri ndio nakua sielewi elewi ππDidy ni shem wetu hata km ni ngumu kumeza, yawezekana hakukutwa sealed hilo 1 au kaliwa kwa ahadi kemkem hazikutekelezwa, kwani ni mara ngapi mmekula wanawake kwa ahadi za uongo?
Simba ameshasema walifanya yasiyowezekana kuwekwa wazi. Acheni kutuona sisi mamburula ππAkihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P.Diddy.
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
View attachment 3106362
Hapo hapo ukikaza utapaelewaπππ alivyo mpenda Kiki kutrend na sifa aliliwa na kwenye hiyo video anaongea kinyonge sana, pia media yake imejaza watu walioleft na anawapa shavu sana serikali ipo inamtizama tu!Daah inaniwia vigumu kuamini ujue ila sasa nikiskiliza ile clip yake kwamba waliyofanya mengine ni siri ndio nakua sielewi elewi ππ