Mkuu.
mchango wako poa tu lakini umeutia kasoro hapo penye rangi ya buluu. Katika hao wanaokwenda kwa babu wamo wanaokwenda msikitiki. Pia ni wananchi na watanzania wenzako.
Naelewa kuwa maamuzi mengi ya serikali iliyopo hivi sasa yanaudhi na yanaumiza wananchi lakini huwatendei haki hao wanaoingia msikitini kwa kauli yako. Wao pia wanaumia na maamuzi ya "hawa majuha". Na kauli yako hiyo ni kiashiria cha ubaguzi au unahubiri mgawanyiko wa wananchi wenzako?
Ndugu yangu usemayo ni sawa lakini ili huduma yoyote ya kiafya iweze kuwa authorized mahali popote duniani ni lazima ithibitishwe na mamlaka husika ya afya,zipo traditional medicine therapy nyingi duniani kama kule china,india hata ulaya lakini zote hizi zinakuwa zimepata baraka kutoka mamlaka husika,hata hapa nchini kwetu regional hospitals na referral hospitals zina vitengo vya wataalamu wa tiba asilia na wote wana baraka kutoka wizarani,hivyo wizara inafanya hivyo ili kujiweka on the safe side na vile vile ni kuhakikisha kuwa hiyo dawa iko salama isije wadhuru consumers baadae kwa sababu dawa uliyokunywa leo unaweza kuona madhara yake even 5-10 yrs later,mimi nafikiri sio jambo baya ili mradi huo utafiti ufanyike kwa haraka na ikithibitika dawa ni nzuri na haina madhara babu aendelee kutoa huduma.
Nliweka kila aina ya dawa kwenye chombo maalumu,nikaweka namba.Sasa huo unga watajuaje umechanganya mizizi gani? lazima waone kitu original.
Yule babu wa Loliondo aliyepata umaarufu kwa muda mfupi kutokana na dawa yake kutibu magongwa sugu amefungiwa kuendelea ma kutoa dawa kwa wagonjwa na wizara ya afya,wizara imesema inataka kuifanyia utafiti dawa hiyo pia wamemsauli mchungaji huyo mstaafu kuisajili dawa yake mamlaka ya chakula na dawa(TFDA). Source.Channel ten habari ya saa 7 mchana.
Mi naona aibu kwenda coz ni mtu mzito sana halafu kwenda natamani sasa nifanyeje?
Mkuu.hujamuelewa mdondo we mtu, seems wewe watokea mikoa ilee isikijua kiswahili vyema
Yule babu wa Loliondo aliyepata umaarufu kwa muda mfupi kutokana na dawa yake kutibu magongwa sugu amefungiwa kuendelea ma kutoa dawa kwa wagonjwa na wizara ya afya,wizara imesema inataka kuifanyia utafiti dawa hiyo pia wamemsauli mchungaji huyo mstaafu kuisajili dawa yake mamlaka ya chakula na dawa(TFDA). Source.Channel ten habari ya saa 7 mchana.
Nilijua kua hawa majuha watafanya hivyo baada ya wao kupata dawa.
Basi tena tumain limepotea kwa wagonjwa
Mi naona aibu kwenda coz ni mtu mzito sana halafu kwenda natamani sasa nifanyeje?
JE WEWE NI TAJIRI KAMA KUNA NJIA NYINGI?Jamani mi nimeona vitu lakini hiki cha loliondo kimenishtua sana, kwasababu Mzee huyu ni wa ajabu na ameweza kujipatia njia nzuuurii ya kutafuta Pesa bila kutumia unyang'anyi wala Ndumba, bali kwa kutumia Akili yake.
Hakuna uthibitisho wa kisayanxzi kwamba dawa hiyo inaponesha, na kimachoshangaza Eti Dawa hiyo huponi ukichota mwenyewe mpaka achote kwa mkono wake.
naomba tuwege makini, na naomba uthibitisho ili na mimi niende bana
Eti wadau ni njia ya kutafuta Ela au Dawa kweli?
Ina maana babu hajatoa hata namba ya account tuchangie huduma! Anyway tenda wema nenda zako usitizame nyuma. Anachofanya babu ndiyo utumishi wa kweli yeye hayuko kibiashara na hii inadhihirisha babu kweli katumwa na Mungu kuokoa watu. Zidumu harakati za babu. Vipi mustakabali wa akina ndodi??
kwa wale wanaofikiria Nje ya BOX ...This is pure case of placebo effect. Huyu babu he is a priest "man of god" claim he saw this herb in his dream.. wht u except..? if u know about placebo effect u will have ur answer why people who are going to see him thy are getting better!!... P.L.A.C.E.B.O !! ... !
Mod naomba nisahihishe neno la nne kutoka mwisho liwe "nazidi".Nashangaa dawa ya babu lazima ifanyiwe utafiti. Mbona kuna dawa nyingi sana tunakunywa hazifanyiwi utafiti. Kamba kombe mtu akipiwa anywe unajuaje kama ni salama. Yote unakubali kutokana na imani tu. Sasa watafanya utafiki yote haya na mengi tu ambayo watz wanakunywa kwa ajili ya kuhangaika kujitibu baada ya kukosa huduma za afya za kutosheleza na zinazowatosheleza kutokana na kipato chao. Serikali iache tu watu wawe huru kama mtu anavyojisikia. Isije kuwa kwamba kwa sababu wao wameshakunywa sasa wanafanya fitina kwa wengine. Tuelewe vipi - hospitali nyingine zinasemekana wagonjwa wengi wameenda kwa babu wakapona hawakurudi tena. Kwa waombaji nao wagonjwa baada ya kupona hawakurudi tena kwa vile inaonyesha walikwenda kwa shida tu si imani. Wasije ikawa dawa zao sasa zinadoda kwa hiyo watakosa fedha za kujikimu ndiyo wameamua kumpiga stop babu! Yangu macho nazini kutafakari bila majibu.