fundiumeme74
Member
- Sep 5, 2017
- 86
- 180
Ndo Huyo Huyo !Kama namjua ivi huyu jamaa.
Hata awamu ya kwanza aliowapata wote ni wajinga,mtu mwenye ufahamu hawezi kuingizwa 'kingi' kwa style ile.Haijakishi wadhifa,elimu au umri,ukiwa zoba unaingizwa mkenge tu.That's the painful truth.Hapati mtu safari hii labda wajinga.
Huyu naye alikwenda? Namkumbuka alikuwa mwalimu wangu Sengerema Sec. Sijui yuko wapi siku hizi.
Hivi huyu naye alikwenda kwa Babu? Namkumbuka huyu jamaa, alikuwa mwalimu wangu Sengerema Sec.Kama namjua ivi huyu jamaa.
😱😱😱😱Huyu naye alikwenda? Namkumbuka alikuwa mwalimu wangu Sengerema Sec. Sijui yuko wapi siku hizi.
Usishangae bi dada, ugonjwa ulijulikana muda mrefu.
Ndo Huyo Huyo !
Hivi huyu naye alikwenda kwa Babu? Namkumbuka huyu jamaa, alikuwa mwalimu wangu Sengerema Sec.
nmegundua kwa nn maamuzi ya huyu jamaa yako vileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee