Babu wa Loliondo aoteshwa tena kikombe; Asema wengi watakifuata

Babu wa Loliondo aoteshwa tena kikombe; Asema wengi watakifuata

.pesa zitakuwa zimeisha za huyu babu fainali uzeeni
 
Mwambieni huyu Babu wa Loliondo kwamba kama anataka watu waende kwake tena, atafute watu mia watakokuwa na ushahidi kamili kwamba wamepona ukimwi baada ya kunywa kikombe chake. Waonyeshe ushahidi wao kutoka hospitali zinazoheshimika kwamba ni kweli wamepona ndipo wananchi wanaweza kumwamini tena. Bila hivyo, NOBODY will come to you Mzee Mwaisapile.
 
Mzee kanenepeana uzeeni. Yale maneno kuwa hakuna mwafrika mwembamba ni shida tuu yanaendelea kutimia
 
Unakumbuk nini kuhusu huyuuu mtu, mana ilikua ni shda, naskia ilibd na loliondo kupelekwe huduma za jamiii kabisa mana watu walikua wengi sana.... Tuambie we unakumbuka nin, mi nakumbuka kikombe kilikua immobile, yani ukitaka nenda kwa babu hukohuko,tena akunyweshe yeye ila kwamba utatumiwa mkoan iyo sahau.... Enhe ebu tukumbushane nyakat hapa..... By abubakar abdallah..... The philosopher[emoji15]
 
Back
Top Bottom