Babu wa Loliondo aoteshwa tena kikombe; Asema wengi watakifuata

Babu wa Loliondo aoteshwa tena kikombe; Asema wengi watakifuata

Kwa kosa gani? Kumbuka alisema ili upone lazima uwe Na Imani
kwahiyo kila jambo unaloambiwa unaliamini pasipo kuipa nafasi yakufikiri halmashauri yko ya kichwa...
HAYA BASI NAMIMI NATEMBEA NAMKEO MKUU NAOMBA UAMINI NAHILI
 
Wajinga wapo wengi mjini..Mzee utapiga pesa trust me!we taja tu siku ya kuanza huduma utawapata wateja.
 
Kuna wimbo wa taarabu unasema, "mtu mzima hovyo"
 
kweli pesa ni sabuni ya roho, babu katakata huyo, anang'aa, waka waka
 
Hela kweli sabuni ya roho, babu katengeza shavu na anaoneka kijana. Ni mjasiriamali wa kiwango cha juu sana.
 
Amwajiri SHIKA kuwa ndio muhudumu wake wa kugawa kikombe ITANOGA zaidi maana uongo wao unafanana juzi tuu katoa uongo mwingine kuwa ameteuliwa kuwa balozi wa marekani
Bila kusahau Babu Seya naye awepo kwajili ya burudani wakati watu wakipata dawa
 
Back
Top Bottom