Babu wa Loliondo aoteshwa tena kikombe; Asema wengi watakifuata

Babu wa Loliondo aoteshwa tena kikombe; Asema wengi watakifuata

duh ndo kanenepa hivo?

hila msimbyeze wajinga hawaishi tanzania.
 
Ye atangaze tuu kujiunga na cdm,watamtangaza na nyumbu wote wataenda kunywa kikombe ili wapate kiki
 
atawapata tu kwa sababu watanganyika tulishaacha kutumia akili siku nyingi
 
Mchungaji Mwaisepile, maarufu kama Babu wa Loliondo na aliyepata umaarufu zaidi miaka kadhaa iliyopita kutokana na tiba ya kikombe cha dawa ya maajabu, amerudi tena na kudai wengi wataenda ku-sip kikombe kama ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopita.
Chanzo, gazeti la Mwananchionline.
 
duh enzi zake babu ilikuwa hatari....

maxresdefault.jpg



Loliondo+1.bmp


Msafari kwenda kwa Babu enzi hizo
Dah ni hatari sana msafara wote huo kwa Babu ni shida
 
Hakuna kiki

Sahivi labda Babu Seya aseme ametoka na kikombe korokoroni ndo tutaenda
 
Mzee aache kutuingza mjini, au alivyoona foleni meli y wachina kajua watanzania wengi wagonjwa ...
 
Back
Top Bottom