Babu wa Loliondo aoteshwa tena kikombe; Asema wengi watakifuata

Babu wa Loliondo aoteshwa tena kikombe; Asema wengi watakifuata

mzee kanenepa hadi kitambi du noma sana aise, maisha yake yalibadilika kabisa
 
Huyo mzee Matwanga. Mjanja mjanja sana, alipiga mkwanja sana
 
duh enzi zake babu ilikuwa hatari....

maxresdefault.jpg

Loliondo+1.bmp

Msafari kwenda kwa Babu enzi hizo
 
Dah,babu wajukuu wako vyuma vimekaza,tufanyie sh 100
 
Kila nabii alikua na wakati wake,babu asilazimishe.amekua akiongea mara nyingi kurudi lakini inagoma,ashukuru Mungu alichopata..
 
haahhahahaha aiseee dah! fikiria hicho kikombe kingekuwa na sumu iuayo taratibu labda tuseme baada ya mwaka mmoja au miezi sita nchi ingekuwa katk hali gani? maana hakukuwa na mamlaka zilizouthibitishia umma kuwa kweli huyo ni dawa.
 
duuuhhh Huyo MZEE ndio kanenepa hivyo??
kweli alipiga hela ndefu .. naona mpka shati lapepe kale linambana
 
haahhahahaha aiseee dah! fikiria hicho kikombe kingekuwa na sumu iuayo taratibu labda tuseme baada ya mwaka mmoja au miezi sita nchi ingekuwa katk hali gani? maana hakukuwa na mamlaka zilizouthibitishia umma kuwa kweli huyo ni dawa.
😀😱 huyu babu anafaa kushtakiwa wateja wake wengi mpaka leo hawajapona na wengi sana walifia huko maporini
 
Back
Top Bottom