The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Wakati mwingine inawezekana umasikini wako ni matokeo ya Babu yako kula kona wakati wa zoezi la kukamata watumwa waende wakafanye kazi marekani
Babu yako alijificha porini milimani, inawezekana maisha yako ya mlo mmoja unayopitia sasa ni kwa sababu ya uzembe wa Babu yako kukimbia fursa.
Maana mababu zetu walipelekwa utumwani kwa lazima Leo vijana wanatamani kwenda utumwani kwa lazima sema tu Trump kakaza.