Nimesikitishwa sana Batanzania
Ni baeleze Batanzanie
Nimesikitishwa sana na hatua na sababu zilizochukuliwa kufuta posti yangu. Jambo hilo limendhihirishia vitu vingi sana hapa JF, na kimoja wapo ni upuuzi na ujinga(ignorance) wa baadhi ya watu na hata Jamiiforums kwa ujumla.
Jamiiforums inaendeshwa kwa michango ya kifedha na members wake, matangazo ya kibiashara na Misaada kutoka asasi za kiraia na taasisi zingine zilizopo nchi za Ulaya na Marekani, server iko Marekani.
Hawa wachangiajii wa kifedha ndio wanaitwa special interests groups😅
Utegemezi wa misaada unaathiri sana watu, na athari ni hasi haswa.
The implication here, is that dependencies can lead to a lack of impartiality and fairness, with the platform possibly being swayed by the interest of its financial supporters rather than being an unbiased space for all opinions.
Hata Trump aliona hilo🤔
Misaada hii ndio inayowafanya kupuuzia maoni ya vikundi fulani vya jamii, na kupendelea vikundi vingine kama vile vya special interest;ambavyo vinapewa special spaces.
Posti yangu ilikuwa na tatizo gani Brija🤣🤣🤣🤣🤣 ukaifuta?
Je, matukio haya kama kufutiwa posti za baadhi wa memba kwa maoni yao tu ama kuachia posti kama hii hapa yanatokana na mahusiano ya kifedha? Hilo ni la kwako kudadavua.
Uzi huu unapuuzia historia. Uzi huu unaudhi, dharau na kuupuzia mazima historia ya Utumwa.
Ukatili uliofanywa wakati wa enzi za utumwa were immense. Mateso yalikuwa hayaelezeki👇
Maumivu yaliyoachwa na yaliyoletwa kwa vizazi vya watu waliofanywa watumwa bado yanaonekana leo, hebu muangalie huyu baba akiangalia viungo vya mwanawe wakike😥😫
The trauma inflicted on generations of enlaves peolpe is still visible today on end, manifesting in systematic inequalities and enduring social and psychological scars.
Halafu unakuta unaulizwa "Uzi una shida gani?"
Habari mkuu, uzi huu una shida gani?
😔😔😳
Hivi hamuoni hizi negative reactions za watu?
And so what's your drift here?
Haya ndo naita mawazo ya kishenzi.
Sawa na mtu kutamani kuwa shoga, alimradi analipwa.
Maoni hasi kutoka kwa baadhi ya wachangiaji wa uzi huu, yanaonyesha kuwa maudhui haya ni kinyume na kinzani na miongozo ya JF na miongozo na sheria zingine mtandaoni.
Yani kuignore and blatantly dismissing such a significant and paniful part of history as if it were a mere game is deeply offensive, harmful, and quite frankly disturbing.
I believe it is essential for the Forum to maintain impartiality(ni vigumu sana kuandika uzi kama huu in reverse, na kuandika kuhusu race zingine)just my observation..
Deleting posts that address these concerns, rather than fostering constructive, criticism; rebuke, rebuttals etc, undermines the intergrity of the platform.
Nawasihi to reconsider kurudisha posti yangu to ensure fair moderation.
Mimi
Nkaburu
=========
Huu utegemezi wa misaada itatumaliza Waafrica. IjS