Babu yako angechukuliwa utumwani USA we mjukuu wake ungekuwa unakula Bata sasa hivi USA

Ukute walikutana na bibi kwenye kikao cha waganga wa vijiji majirani, hiyo mimba iliyopelekea kuzaliwa sijui ingetungwaje na mzee kamisi kikao sababu yupo Marekani.
 
Hata huko mambele asilimia kubwa ya watu weusi wanaishi kwa kubangaiza...
 
Fanya mpango uende wewe li wajukuu zako wakale bata
 
Habari mkuu, uzi huu una shida gani?
Mkuu,

Wewe huoni?

Nauliza huu uzi unamlenga nani?Unamlenga nani huu Uzi? Mtu mweusi, Mwafrika au?

Wewe huoni huu uzi upo offensive?
Utumwa ulikuwa ni mchezo?
 
Marekani hakuna BATA kwa mtu mweusi.

Watu bado wako utumwani. Acheni hizi ILLUSIONS
 
Kwahio umesimuliwa kuwa watu weusi wote wanakula bata?
 
Ilikuwa west African sio East Africa.

Anyways wazo la kijinga sana
 
Kuna wakati mnawaza kama wajinga...unadhani huko marekani hawafanyi KAZI?
Just simple alijificha ili uishi maana huko USA ungekwisha kufa. Mnawaza tu Kula bata na sio kutafuta hiyo bata yenyewe
 
Hao black wenyewe mbona wanakula msoto tu huko marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…