Babu yako angechukuliwa utumwani USA we mjukuu wake ungekuwa unakula Bata sasa hivi USA

Sawa ungezaliwa mambele ila pengine ungekuwa na tabia za huko pia saa hizi

 
Kuna bata gani kule?90% wanaishi majalalani na homeless.
No life, no nothing,ni wavuta bangi,madawa masingo maza km wote wanauza mchana kweupee.
wanataka kurudi ila warudi wapi?
Babu yangu alipigana na mjerumani mpaka akaomba poo, na hajaenda popote mpaka anakufa.
Leo unaniambia wale walibwagwa huko wanakula bata.
hawana pa kukaa.
Na majority ni West African na wapemba hawa.
 
Maisha ya mtu mweusi yametawaliwa na kunyosheana vidole sana. Sisi ni maskini sababu Nyerere hivi, Nyerere that.. Mimi ni maskini sababu Baba yangu hivi, Baba yangu that...

Kama ambavyo Babu yako alivyoshindwa kununua ardhi kwa 300 mwaka 1968 ndivyo wewe unavyoshindwa kununua kiwanja hapo kiluvya kw laki 7 tu.

MTU MWEUSI.
 
Kwa walioenda ambao wajukuu wanakula bata tz ni akina nani tutajie wa 3 tu.
 
Hao waliofeli life tatizo ni wao binafsi na sio mfumo
 
Unauhakika babu yako angekutana na bibi yako ili wazae wazazi wenu ili upatikane wewe?
 

Nyerere angejua anawaombea Uhuru vijana wa hovyo hivi angehairisha...
🤣
 
Sio kila alie US anakula bata alafu acha maisha ya kizamani
 
pia inawezekana wewe ungekuwa mke wa mtu huko USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…