BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Hivi mwanamke gani atayekubali kuolewa na mwanaume anayejisifia kushika viuno vya wanawake wote bongoo?
Bora angekuwa anawakula kweli mtu unaweza sema Mume wangu kiwembe...lakini ndo kwanza akitoka hapo anenda kuwavutia hisia za kupiga puchu....khaaaa....
Bora mtu ufe mseja kuliko kuolewa na huyu...huyu saizi yake Mbuta Nanga tu basi...otherwise hakuna wa kuendana nae dunia nzimaa...
Lembululaz le shati km pazia le fukoz...mapana ya shati yanatosha kufunika meli
We miaka 60 bado uko na tabia za under 20 jamani? Si ni utindio wa akili huo. Ndo maana hawezi kuheshimika maana alichagua kutoheshimiwa. Wazee wenzako muda wa baada ya kazi wametulizana wewe kutwa na insta party. Huyu na hasheem lundenga sawa sawa tu
Hahahahahaha uknw wabebiz wakarez wanapenda mashati yangu hahahahaha I like it
Hao wanawake wanaopigwa picha huku wakimgawia mabusu akili zao sijui kama nzima kweli
Wallah....meli tena?????
Hahahahaha uknw wanasema bukta yake inaweza funika scania uknw hahahahaha I love it
Yani huyu sahizi ndo anakuja kukumbuka shuka wakati kumeshakuchaUknw Mabebiz wakarez wana nizimia u knw hahahaha I like it
Una utani na mzee mwenzangu wewe eeh???? Mabatini panakuhusu
Na loya wa familia Ruttashobolwa haji kukuwekea dhamana
Uzee mwisho Chalinze, we vipi... unaniabisha bhana! Mwache Le Mutuz, Masauti ya Umeme ale ujana na bebez za downtown... nyie mnaoishi pande za Msoga kwa JK kurudi nyuma bakini huko huko na mizee yenu wala ugoro... hapa town hakuna ugoro so, wote ni mabebi gals na mabebi boyz... kama ni smoker, mambo ni ambassador! Jana yenyewe nimeenda kumcheki m-sure angu nikamkuta kadondoka na tshirt chini bonge la raba... mwenyewe anaita raba mtoni...utamtakaje; manake ungezani ni finalist flan hivi kutoka mavyuo ya mabrazeni hapa mjini!We miaka 60 bado uko na tabia za under 20 jamani? Si ni utindio wa akili huo. Ndo maana hawezi kuheshimika maana alichagua kutoheshimiwa. Wazee wenzako muda wa baada ya kazi wametulizana wewe kutwa na insta party. Huyu na hasheem lundenga sawa sawa tu
Mi nashangaa.... hizi bebezi za mitaa ya Msoga kurudi nyuma ni taabu kweli kweli... hawajui kwamba hapa downtown wote ni bebi boyz na bebi gals... hebu wamcheki Mamake Wema au Bi Chau.. utaita wazee wale?? Huyo Bi Kidude tu hadi anaelekea kwenye uzima wa milele sikupata hata siku moja kusikia akiitwa Bibi Bint Kidude but always Bi. Kidude kama ambavyo hatuwezi kuita Bibi miss neddy but Bi. miss neddy is completely acceptable!mwacheni rais wa mabebez wa ukweli michango hajala harusi ipo mtajulishwa le bilionea hawezi kuingia mitini na vijisent u know
Avemaria acha husuda... wazee ni wale wabugia ugoro kutoka Tabora... hapa mjini hakuna ugoro kwa hiyo Le Mutuz ni mbebi boy kwahiyo msiwe na wivu kisa tu aliwatolea nje kuchukua selfie na yeye... yeye anachukua selfie na mabeibez wa ukweli!Kuna picha moja iliwekwa akiwa gym anafanya mazoezi, yaani nilicheka aisee. Mwenyewe kalal chali yuko busy na chuma na kibukta chake cha blue kimefunuka baja limebaki nje....dah huyu mzee noma kweli!!
Mi nashangaa.... hizi bebezi za mitaa ya Msoga kurudi nyuma ni taabu kweli kweli... hawajui kwamba hapa downtown wote ni bebi boyz na bebi gals... hebu wamcheki Mamake Wema au Bi Chau.. utaita wazee wale?? Huyo Bi Kidude tu hadi anaelekea kwenye uzima wa milele sikupata hata siku moja kusikia akiitwa Bibi Bint Kidude but always Bi. Kidude kama ambavyo hatuwezi kuita Bibi miss neddy but Bi. miss neddy is completely acceptable!
Hahahahahaha uknw mabebiz wanampenda hadi ana sinzia hahaha
Hahahaha mbebiz mkarez Kim nana hawezi kufungwa uknw adhabu yake ni kupiga picha 20 na Celebrity mwenye degree tatu uknw hahahaha
Haiwezi kuwekwa tena ile coz' iliondolewa kwa maombi maalumu baada ya mabeibez wasio na kasoro kuanza ku-piss hovyo hovyo... in short ni kwamba, wengi wao kama sio wote, body temperature ilikuwa so high watu wakawa hawajiwezi.Hahahahaaa ile picha ilinicheka sana aiseee! Iwekeni tena jameni lol!