mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Mgoja nimwambie arejeshe michango yupo hapa chini Empress cinema anakunywa chai na chapati maana mamake K-lango kanyima mayai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgoja nimwambie arejeshe michango yupo hapa chini Empress cinema anakunywa chai na chapati maana mamake K-lango kanyima mayai.
Stanii kesho akija nitapiga picha gari yake aina ya Kitimoto (Noah) mpya yenye matangazo ya blog yakeEmpress si hapo karibu na idara ya habari maelezo? Mbona kuna mgahawa mzuri wa kisasa kabisa? Acha kushusha cv ya Le Billionare.
Stanii kesho akija nitapiga picha gari yake aina ya Kitimoto (Noah) mpya yenye matangazo ya blog yake
Naijuwa lakini hapo hakuna mama ntilie siku hizi, jengo la iliyokuwa empress cinema kuna mgahawa na pale mbele kuna mgahawa wa Juma Pinto nadhani anapaki gari hapo kwa sababu kule kwa Juma Pinto hamna parking.
Empress si hapo karibu na idara ya habari maelezo? Mbona kuna mgahawa mzuri wa kisasa kabisa? Acha kushusha cv ya Le Billionare.
Mghawa huu anakuja hadi watasha, ni mpya sana, mwanzoni walikuwepo watu wa vodacom, eneo hilo huwa ni la Abbas Mwinyi nasikia siku hizi kanyanganywa na NHC baada ya kushindwa kupalipia kwa wakati, LeMbululaz hakosi pale.
Huyu babu ugonjwa wa presha hataupata kamwe maana kashajitoa ufahamu.
View attachment 199947
Le babuz la totoz
Le Biliionaire Le Mutuz hawezi kula kwa mama ntilie bwana....CV yake kubwa
Page ya saba hiyo wapi le mutuz mutu mukubwa,le bilionea, le super blogger.
shati la Le Mutuz linaweza tumika kama TURUBAI kwenye shughuli
Page ya saba hiyo wapi le mutuz mutu mukubwa,le bilionea, le super blogger.