Babu yangu Ze King of All Network Le Mutuz...Turudishie michango ya harusi

Mgoja nimwambie arejeshe michango yupo hapa chini Empress cinema anakunywa chai na chapati maana mamake K-lango kanyima mayai.
 
Empress si hapo karibu na idara ya habari maelezo? Mbona kuna mgahawa mzuri wa kisasa kabisa? Acha kushusha cv ya Le Billionare.
 
Stanii kesho akija nitapiga picha gari yake aina ya Kitimoto (Noah) mpya yenye matangazo ya blog yake
 
Naijuwa lakini hapo hakuna mama ntilie siku hizi, jengo la iliyokuwa empress cinema kuna mgahawa na pale mbele kuna mgahawa wa Juma Pinto nadhani anapaki gari hapo kwa sababu kule kwa Juma Pinto hamna parking.
 
Mghawa huu anakuja hadi watasha, ni mpya sana, mwanzoni walikuwepo watu wa vodacom, eneo hilo huwa ni la Abbas Mwinyi nasikia siku hizi kanyanganywa na NHC baada ya kushindwa kupalipia kwa wakati, LeMbululaz hakosi pale.
 
Huwa napitapita hapo ukiweka order ya ugali unasongewa dakika 15 msosi mezani tayari. Ila sijui mmliki ni nani.
 
1415358206574.jpg
Le babuz la totoz
 
Le Biliionaire Le Mutuz hawezi kula kwa mama ntilie bwana....CV yake kubwa

Hahahahaha uknw siwezi kula sehemu za ajabu maana Mimi nina marafiki Mabillione supergadem mbuluraz hawaamini hahahaha I love it
 
Attachments

  • 1415364398109.jpg
    1415364398109.jpg
    51.9 KB · Views: 218
Page ya saba hiyo wapi le mutuz mutu mukubwa,le bilionea, le super blogger.
 
Uknw Mimi ni big celebrity hivyo siwezi changia mpaka zifike page 10! Hahahaha I love it
 
Attachments

  • 1415461654315.jpg
    1415461654315.jpg
    52.2 KB · Views: 142
Thanks wabongoz kunipa chati...I make more money from these mitandaoz b'coz of you ha! ha! ha!...Now niko bize na mbebz wakareez you know..bongo tambararez kwa le super bilionea le big show mzee wa mbebz wakareez ha! ha! ha!

Le Mutuz system
 
Back
Top Bottom