Baby Come Back.........

Kama mliachana kwa shari mkiwa wawili tu bila kushirikisha ndugu,jamaa na marafiki inawezekana mkarudiana ila kama nao walishirikishwa katika mgogoro huo huo huwa ni vigumu sana kurudiana.

Mtu kakuacha kwa kashfa kubwa tena mbele ya ndugu zako leo hii kaja mikono nyuma eti umsamehe!Hiyo ngumu.
 

Leo huna hangover, at least naweza kuapa.
 
Kuna hii mtu inaitwa GY....ukiiona ikimbie....

Ile mutu imezaliwa kwa ajili ya bia tu!
Vipi ushawahi kumkam back infii?
Ukishamkam back jiandae na limbwata walahi.
 
MSISITIZO:there is NOTHING LIKE BABY COME BACK IN THIS AGE OF DOWANS,RICHMOND etc
 

Mkuu lakini umesahau kuwa ni lazima hayo mambo yatokee ili upate uzoefu ambao umetupa hilo hitimisho kama kweli ni shetani au la? Naamini kuna wengine wanarudiana na shetani anashindwa kuipenya ngome yao!

Hata hivyo naona haya ni mambo ya kawaida kama yalivyo maisha kwa ujumla. Watu wengine wanakufa na hapo hapo wengine wanazaliwa. Au unashauri tuache kuzaa kwa kuwa kuna maiti mortuary?
 
Ile mutu imezaliwa kwa ajili ya bia tu!
Vipi ushawahi kumkam back infii?
Ukishamkam back jiandae na limbwata walahi.

Infii haachwi wala harudiwi......
 
MSISITIZO:there is NOTHING LIKE BABY COME BACK IN THIS AGE OF DOWANS,RICHMOND etc
Hakuna kinachostahili hii yuziful posti zaidi ya hiki:




The Following User Says Thank You to Teamo For This Useful Post:

Asprin (Today
 
MJ1,

Anyways wengi wanaojua ku-forgive na ku-forget ni Wanawake!

Sidhani kama Mwanaume "kamili" Can forgive and forget! No way!

Yaani that is beyond imagination - Baba_Enock will never "UN-DO" any broken relationship - never never on Earth!
Aksante Baba Enock so should we say.............Baby Come back huwa ni kwa kina dada tu?..............mie nikimkosea kipenzi nisijihangaishe kumplease anirudie??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…