Baby Come Back.........

Babu DC; Kwangu mimi English is better if i want to express my self.. Vinginevyo nahitaji muda mwingi kufikiria na kutafsiri...

Sijaelewa hapo....Ni rahisi kwa Kinyakyusa au?
 
Baba_Enock..................dah am speechless....aksante sana na kwa hii post naenda lala kwa amani.
 
Babu DC; Kwangu mimi English is better if i want to express my self.. Vinginevyo nahitaji muda mwingi kufikiria na kutafsiri...
Loner hujambo bibie! Mbona umepotea sana? Me mcd u!
 
umeeleweka vizuri sana, hakikisha kesho una log on tena. tunaweza tukakuhitajia kwa masuali zaidi.

asante kwa ushirikiano.
 
mi na zawadi yako asante kwa kusema ukweli ambao wengi hatupendi kuukubali lakin ndio ulivo izi ndoa nyingi ni batili na izo baby come back ni sababu za kulinda yale tunayopenda yawepo kwa maslahi binafsi lakini si upendo wa kweli unaweza kuambiwa neno hata ukijaribu kulifuta likaendelea kuwepo kichwani miaka yote.

Babu DC; Kwangu mimi English is better if i want to express my self.. Vinginevyo nahitaji muda mwingi kufikiria na kutafsiri...

Hongera ndugu yangu...kwa wengine hiyo lugha tunaiogopa kama ukoma. Ni heri kukutana na FFU kuliko kuambiwa uko kwenye mazingira ambayo kimatumbi hakiruhusiwi.

Natumai ulikwepa karaha za kuzaliwa madongo kwinama kama sie, akina Kanumba!
 
Baba_Enock..................dah am speechless....aksante sana na kwa hii post naenda lala kwa amani.

MJ1,

Unaweza kutufanyia summary ili sisi wengine ambao kufikiri ni mzigo tuweze kupata desa kwa ulaini?
 
Daayyymmm!!!

B_E, to me this is the best post of the past 12 months; sijui nisemeje ila kila word uliyoweka imekaa perfect na post, ujumbe upo clear

I love this post
 
The Following User Say Thank You to Baba_Enock For This Useful Post: Dena Amsi (Today),

My Love sijawahi kukugongea thanks lakini kwa hili you deserve. Very useful post ever before!!!
 
Daayyymmm!!!

B_E, to me this is the best post of the past 12 months; sijui nisemeje ila kila word uliyoweka imekaa perfect na post, ujumbe upo clear

I love this post

I concur..hii ni vere vere....so, MMU is not that 'bad ' eeh
 
I concur..hii ni vere vere....so, MMU is not that 'bad ' eeh
MMu has never been bad... its just we miss these vitu adimu

if it was that bad, i would stick to maria roza forum
 
Hommie eti unaweza kufanya baby come back na Tusker ya baridi?

Inategemea, yaani, 'it depends'

Mfano tusker baridi sikuachana nayo 'kwa ubaya'

kuna haja ya kuweka akiba ikifika mahali au sehemu hakuna 'valeur' si nitarudia tusker yangu?

na hivi, sikuwa nimefall in love nayo.....hahahah

nimeona kuna sijui kuevaporate na kucondense?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…