Baby Come Back.........

MMu has never been bad... its just we miss these vitu adimu

if it was that bad, i would stick to maria roza forum

hahahaha ngoja kwanza niende uwanja wa mapambano yaani siruhusiwi kucheka wiki nzima hii ila hapa sina mbavu daaaaamn! hahahaa
 
Aisee...nadhani hii thread ifungwe sasa.

Skulimeti umeongea ya kuongea. Pale kwa Leyla kuna bia zako 5 za baridi kwa hisani ya hii "baby come back" stuff.

I, babu, salute you skulimet, and this yuziful post!
 
The Following 7 Users Say Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:

Acid (Today), Asprin (Today), Chauro (Yesterday), Dark City (Yesterday), Dena Amsi (Today), Kaizer (Today), MwanajamiiOne (Yesterday)​
 
Aisee...nadhani hii thread ifungwe sasa.

Skulimeti umeongea ya kuongea. Pale kwa Leyla kuna bia zako 5 za baridi kwa hisani ya hii "baby come back" stuff.

I, babu, salute you skulimet, and this yuziful post!

Babu ngonga thanks basi
 
Hahaha...kijana analeta principles za thermodynamics kwenye baby come back.... madhara ya kutegemea calculations kufaulu mitihani.

Sasa hommie, si unaweza kukosana na Tusker baridi inapokufumania ukifanya mapenzi na dose ya malaria?
 
asee baba enock hapo huu UMEUA!

hiyo makitu unaiwezanga yani ARIF
 
Hahaha...kijana analeta principles za thermodynamics kwenye baby come back.... madhara ya kutegemea calculations kufaulu mitihani.

Sasa hommie, si unaweza kukosana na Tusker baridi inapokufumania ukifanya mapenzi na dose ya malaria?

Asprin... Hizi signature huwa unatoa wapi??
Makwenzi kwa watoto, Ngumi kwa wakubwa:israel::israel::israel:
Test... test 112! Kunywa bia .....maji yana bakteria!!
 
Tangazo:

Namtafuta Smiles, dada yake Wiselady huku mlimani, ananung'unika kuwa ananihudumia PEKE YAKE. yeyote atakayemwona, ampe ujumbe huu maalumu kutoka kwa Mwenyekiti.

Asanteni.
 
Hahahahahaha: MZEE WA MEMKWA!!!
 
Tangazo:

Namtafuta Smiles, dada yake Wiselady huku mlimani, ananung'unika kuwa ananihudumia PEKE YAKE. yeyote atakayemwona, ampe ujumbe huu maalumu kutoka kwa Mwenyekiti.

Asanteni.

Hivi kumbe uko na Wiselady....mwambie sitaihitaji Baby Come Back yake.
 
My love hebu hakikisha hapa, hii SENKSI KAMU BAKI....

The Following User Says Thank You to Dena Amsi For This Useful Post:

Asprin (Today)​

Babu tangu asubuhi nilikuwa sijacheka nimecheka mpaka nimezimia haya bwana. Lakini mgongee na B_E basi
 
Tangazo:

Namtafuta Smiles, dada yake Wiselady huku mlimani, ananung'unika kuwa ananihudumia PEKE YAKE. yeyote atakayemwona, ampe ujumbe huu maalumu kutoka kwa Mwenyekiti.

Asanteni.

Halafu wewe usianze kuchakachua thread kaanzishe yako hukooo ya kumtafuta huyo Smiles wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…