Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
hahaha mi nalindwa mjukuu bana hilo lijitu litadunda tu hapa......lol
hapo kwenye RED bila kuja na huyo shetani nikamuona na shetani (kama anaweza mpata lakini) akakiri kua kosa ni lake swetani.....otherwise hakuna msamaha hapo!!
Kama hakukuwa na sababu ya msingi kuachana then kwa kile anachokijua yeye akaniacha,waga naumia na kulia for like two weeks,zikiisha hizo na hajaomba msamaha ITS OVER FOR GOOD......namuomba kabisa na Mungu uchungu uishe,nisikose baraka kwa hili then.........
Akirudi na mimi huwa nina hii bahati,hakuna aliyeniacha akaacha kurudi..............kwanza namtangazia msamaha,kuwa alichokifanya nimesamehe,nafurahi sana kufahamiana nae na kamwe sitojutia,nashukuru kwa masomo yote niliyojifunza kwake,ila huo muda tuliokuwa hatuko pamoja nilijifunza kuwa HE DOES NOT WORTH ME,am too good for him,there are better men who deserve and worth me.Siruhusu majadiliano,kwa kuwa najua huyu ni mtu niliyempenda na pengine bado nampenda..........
Kama niliachana nae kwa sababu zinazoeleweka hapo tutakaa na tutaelewana kama bado ntakuwa sija-move on!
hahahahah..... hapo nimecheka mno!!
Between men and women there is no friendship possible. There is passion, enmity, worship, love, but no friendship
Hommie sijui lile timbwili litaendelea leo hebu anza kuandaa utetezi wanguhahahaha ngoja tutaongea na Pope kuhusu huu mswaada!! lol
Say No to Ukabaila!!
Habari yako inspectee.............inspector anauliza unaweza kuja myuma kwa mbele?Afrodenzi bana.........I like your way of thinking mydia.
So huwezi kuhisi pengine hata ukicome back mbele tena mnawezagombana au haitowork?
MJ1,
Anyways wengi wanaojua ku-forgive na ku-forget ni Wanawake!
Sidhani kama Mwanaume "kamili" Can forgive and forget! No way!
Yaani that is beyond imagination - Baba_Enock will never "UN-DO" any broken relationship - never never on Earth!
hahaha hommie usijali leo akiamka tunampiga na hii ya MJ1, "Babe come back" ni Shwetani tu alikupitia lol!!Hommie sijui lile timbwili litaendelea leo hebu anza kuandaa utetezi wangu
Hommie sijui lile timbwili litaendelea leo hebu anza kuandaa utetezi wangu
hahaha hommie usijali leo akiamka tunampiga na hii ya MJ1, "Babe come back" ni Shwetani tu alikupitia lol!!
patachimbika leo....!!
hahaha mi nalindwa mjukuu bana hilo lijitu litadunda tu hapa......lol
hapo kwenye RED bila kuja na huyo shetani nikamuona na shetani (kama anaweza mpata lakini) akakiri kua kosa ni lake swetani.....otherwise hakuna msamaha hapo!!
Mshiki inakuwaje we na Teamo mnanitenga pale kwa Mama Sande?
hahaha hapo ni kutoa lami unaweka lami.....au toa vumbi weka vumbi...!!Wakati wa ku-break up: We mwnamme gani wewe au mwanaume sarawili nini wewe? yani kwenye wanaume na wewe upo?
Then baadae: Baby come back please....(tena na lugha imebadilika)
My take: usanii tu
Habari muzuri mshiki.........Habari ya kaka Kimey!
Kaka hadi umwone shetani wewe, Unasamehe tu bwana kaka. Kwani we Tomaso??
Lakini babu inanayemjua hagusi wala hana ushirika na matiti ya wajukuu. Sasa huyo wako ni yupi?
Hapo kwa mama Sande ni grosali mpya?