MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #101
MJ1,
You just have to let the power of chemistry solve the problems for you. If no chemistry at all, you will never in the first place attempt to see such as useless person.
Emotional issue are never dealt with using philosophical theories. Unaweza kushangaa mtu aliyekusabibishia vidonda vya tumbo ukimwona unamwaga machozi ya furaha wakati mtu ambaye wala hakukufanyia kitu kibaya unatamani umwandikie kadi ya RIP! Tuache utani, haya mambo hayawezi kutungiwa sheria wala katiba! Kama mnabisha undeni kamati ya kupitia katiba zooote zilizopo muone kama kuna siku mtaweza kuandika mpya. Mkithubutu kuifanya hiyo kazi basi niletee bili zote nizilipe mimi!
Ah..........Babu ingawa moyo wangu leo una ukungu kwa uzito lakini kwenye red nimecheka ...........ni kweli kabisa uwii namkumbuka kijana mmoja chuo alikuwaga ananipenda kufa jamani mie nkawa hata kumtizama sitaki loh........eti unatamani kumwandikia kadi ya RIP