Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi

Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.

Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post angalau nipate faraja kwamba umenisoma.

Wako akupendae;

Superbug

Picha
 
Yupo wapi siku hizi!!!?
Simuoni kwenye kipindi cha Clouds 360!!?
 
Mwendazake alikolea sana hapo, alikuwa anazuga kupiga mpaka simu kwenye kipindi
 
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi

Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.

Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post angalau nipate faraja kwamba umenisoma.

Wako akupendae;

Superbug
Ni mkenya huyo
 
Babe kabae huyu huyu wa clouds au kuna mwingine? Kama ni huyu wa clouds mimi sijaona ajabu lake
 
Back
Top Bottom