Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

zama zimebadilika... siku hizi pesa tu ndio ya kumtoa nyoka pangoni! Ukiwa na maneno hayo na hauna hela utajiongelesha kila siku katika blue ticks[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahah zama zimebadilika sio kila homa ni malaria 🤣🤣🤣
Mwache aendeleze ngonjera bila pesa aone kitachomkuta
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki umenichekesha!! Sasa ikawaje ukaghairi?
Nilijipima uzito nikaona siwezi nitaishia kupeperushwa tu. Ukiamua kuwa furushi inabidi uwe na uzito (wa kiuchumi) wa kueleweka. Labda miaka mitatu hivi ijayo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Dogo unazingua[emoji1787][emoji1787]
Asante kwa matani Jael. Niko kwenye quarantine ya Korona na curfew juu usiku hakuna kutoka. Matani haya yanasaidia sana aisee. Good night na furushi lako [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
"Utakapo kujua hali yangu mimi ni mzima wa afya hofu na mashaka n kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yanguā¤, usiku kucha silali nakuota wewe, nikinywa maji nakuona kwenye glasi....wallahi ntakunywa sumu juu yako"

Hapo barua imechorwa moyo na mkuki umepita katikati kuonyesaha namna gani mtu anaumia. Karatasi imepuliziwa marashi kama yote. Enzi zile hebu na zirudi basiii ShadeeyašŸ˜€šŸ˜‚šŸ˜€
Kuna mjinga aliniweza sana niko boding school boys tupu ikaitwa barua yangu assembly duuh kuipokea moyo ukafanya paaap barua imechorwa bonge la.kopa juu na mshale mkuuubwa na vijimaneno vya uchokozi,nikasema yap dem wa Msalato niliyekua namfukuzia long kitambo kaingia King loh kufungua nakuta njemba la Ndanda high school linanipa Hi mwanae,shenzy kweli yule jamaa.
 
Jamaa aliamua kukurusha roho
Kuna watu wengine walikua wanachoreshwa na madem waliopo boarding schools. Utakuta jamaa kajipinda kuandika, kapangilia mistari na kamaliza maneno yote matamu. Anatuma barua ya kumtongoza demu. Matokeo yake kule upande wa pili msichana anaibandika kwenye notice board au dormitory na kumfanya jamaa kitukošŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚

Maranyingi hii ilikua inatokea kama msichana hajamuelewa mvulana au anahisi sio wa hadhi yake au huyo binti maadili yake hayakubaliani kabisa na hizo issue. Uzuri ni kwamba utakuta wasichana wengine hapo shule hawamjui kabisa muhusika aliyedhalilidhwa
 
h

ahahaaa,mwenyewe umemwaga mistar ya nguvu halaf unaishia kubandikwa notice bodi hahaaa
 
Tabia mbaya Sana halafu we mwenyewe unakuwa hujui ubaya uliofanyiwa dah
 
Ilikua ni balaa mkuu. Lakini wanawake wakti mwingine wanashangaza sana. Kuna jamaa alifanyiwa hivyo na demu. Matokeo yake walikuja kuoana na hadi leo wako pamoja na watoto ni wakubwa tu sasa hivi!!!šŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
 
Tabia mbaya Sana halafu we mwenyewe unakuwa hujui ubaya uliofanyiwa dah
Nafuu ilikua hapo tu mkuu, kwamba the rest of the girls hawamjui huyo aliyeandika maana utakuta aliyeandika yupo Dar au Dodoma barua anapelekewa demu Kilakala Morogoro au Kibosho Girls Kilimanjaro
 
Nyie msinikumbushe, ilikuwa tunajiandaa na mtihani wa darasa la saba, Mwalimu alikuwa seriously busy ubaoni anamwaga mafomula ya hesabu. Mi huku back bench hormones zinanikwaza kisawasawa niko najaribu kueleza yaliyo moyoni kwa mchumba ambaye hatujawahi hata kusalimiana kwenye barua. Vile niko deep kwenye kutoa mistari mara paap teacher kaniinamia aone nafanya nini. Nilikula mikwaju siku hiyo nikawa kituko shule nzima.
 
Back
Top Bottom