Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Ndio huyo uliyemuonaMkuu hebu acha utani tunasubiri picha ya huyo anaezungumzwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio huyo uliyemuonaMkuu hebu acha utani tunasubiri picha ya huyo anaezungumzwa.
dah hizo fani sipo kabisa,lakini nina dream ya kuishi huko aiseDah mkuu inategemeana na fani mi nilienda kule kutokana na petroleum engineering
Njoo PM
Kumbe yule manzi rafiki yako??
😂😂😂😂😂😂Mnajadili wake za watu humu.
She is beautifull, humble and smart.
Kumbe sapiosexuals tuko wengi [emoji16][emoji16][emoji16]
Anaitwa Elizabeth Mramba..balaa!Yupo huyu mwingine wa TBC ktk kipindi cha aridhio na yeye si haba.View attachment 1419484View attachment 1419485View attachment 1419486View attachment 1419487View attachment 1419488
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe sapiosexuals tuko wengi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hamjambo lakini dada zangu intelligent nyie?
Kuna kipindi hapo katikati nilitamani sana niwe furushi lako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie sijambo my kaka, ila sijui HS!
Hivi hili swali lilipata jibu?Heee!! 😳 Kiaje tena?