Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

Vyo
Mtoa mada fafanua basi uzuri wa huyo Kabae uko wapi? Sura, umbo, kitandani au ni kichwa sana! Mimi nipo Kisarawe kwa Mh. Kidoti........

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote ulivyotaja yupo vizuri isipokuwa hiyo ya kitandani anaijua mume wake mkuu namuheshimu Sana huyo mdada yaniiiii mpaka natoa machozi nikimuona na kujisemea one day nitaonana nae uso kwa uso.
 
Siku hizi vijana hawajui kubembeleza. Hawana yale maneno tuliyokua tunayaita "ya kumtoa nyoka pangoni". Maneno mataam sana ambayo binti hawezi kuchomoka

Sasa sijui siku hizi kama na Ke nao hawataki maneno matamu! Hebu tuambieni basi maneno ya kumtoa nyoka pangoni siku hizi hayawavutii tena ndio maana wanaume/vijana nao wameacha?

zama zimebadilika... siku hizi pesa tu ndio ya kumtoa nyoka pangoni! Ukiwa na maneno hayo na hauna hela utajiongelesha kila siku katika blue ticks[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Picha za BK zimefanya uonekane mwenye wivu maana real ni cute Ila wivu wako kwake ndio maana umemponda .
Uwiiii. Nadhani lugha gongana aisee.

Sababu kwa umri wake sijioni kama mimi napaswa kumuonea wivu.
 
Huyo Hana uzuri wowote mtoa maada pimbi Sana , umekosa mwanamke wa kumsifia unatuletea huyo bonge nyanya nenda hata IFM basi ukachague bint mmoja uje umsifie ,
 
Back
Top Bottom