Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

Kuna kipindi hapo katikati nilitamani sana niwe furushi lako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Hata HS pia atakuwa OK.

Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki umenichekesha!! Sasa ikawaje ukaghairi?
 
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi

Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.

Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post angalau nipate faraja kwamba umenisoma.

Wako akupendae;

Superbug
Msukuma hauwezi kutuambia chochote kuhusu wanawake. Toka alipomuuliza Gwajima maswali ya Kijinga nilimdharau sana na kugundua kinachomsitiri ni Clouds

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom