Baby my ex hana pakuishi anaomba ajihifadhi hapa kwetu.

Culture Me

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Posts
10,490
Reaction score
21,398
Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.

Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
 
Kwanza unaanzaje kuniambia shida za EX wako. Hapo nashuka kama mwewe. Navunja kichwa story watapata getini TWALIPO.
hasira sio nzuri, saidia na wewe utasaidiwa siku moja,
lol.
 
Duuh! una moyo wa dhahabu.
Imagine umezaa na mwanaume au mwanamke alafu hujamuoa ameolewa na mtu mwingine,Then mtoto anaumwa hapo lazima umuambie babaake au mamaake.Unaweza kuficha lakini kifo kikamtwaa je msibani itakuwaje?Je utamzuia mzazi mwenzie kuongozana naye hospitali?je utaenda nao wote wawili hospitali?tafakari.Kuna mzunguuko mpana sana katika haya maisha na nina kisa kimoja cha mtu katika mambo haya ila ni kirefu sana.
 
Lazima urudi home kwenu ukiwa majeruhi.
Tena utafikia hospital kabisa kwa kipigo utakachopata.
Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.

Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
 
Imagine umezaa na mwanaume au mwanamke alafu hujamuoa ameolewa na mtu mwingine,Then mtoto anaumwa hapo lazima umuambie babaake au mamaake.Unaweza kuficha lakini kifo kikamtwaa je msibani itakuwaje?Je utamzuia mzazi mwenzie kuongozana naye hospitali?je utaenda nao wote wawili hospitali?tafakari.Kuna mzunguuko mpana sana katika haya maisha na nina kisa kimoja cha mtu katika mambo haya ila ni kirefu sana.
Umeingia deep sana lakini sio kesi, nimekupata bro.
 
Kiweke mkuu tujifunze

Back
Top Bottom