Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
hahaha sasa amfate wakati anayefatwa na yeye hana pa kuishi, haha punguza hasira bro.(Kibao)... virago nje,, ondoka umfuate. Malaya ww..
Duuh! una moyo wa dhahabu.Kumsaidia mtu ni utu,atakayesaidiwa akiharibu ni ubaya wake!
Lol,Khaaaa.
That dude has balls made of steel.
hasira sio nzuri, saidia na wewe utasaidiwa siku moja,Kwanza unaanzaje kuniambia shida za EX wako. Hapo nashuka kama mwewe. Navunja kichwa story watapata getini TWALIPO.
Imagine umezaa na mwanaume au mwanamke alafu hujamuoa ameolewa na mtu mwingine,Then mtoto anaumwa hapo lazima umuambie babaake au mamaake.Unaweza kuficha lakini kifo kikamtwaa je msibani itakuwaje?Je utamzuia mzazi mwenzie kuongozana naye hospitali?je utaenda nao wote wawili hospitali?tafakari.Kuna mzunguuko mpana sana katika haya maisha na nina kisa kimoja cha mtu katika mambo haya ila ni kirefu sana.Duuh! una moyo wa dhahabu.
Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.
Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
Hapana, ni game tu kuangalia watu wana msimamo gani juu ya exs wao na msimamo gani juu ya mahusiano yao.Hiki ni kisa cha kweli ama?
Lol,Namkubalia aje aishi tu,maana najua pia ex wangu iko siku anaweza omba hifadhi pia atasaidiwa
Hahaha duuh hifadhi tu mpaka vipigo!!?Lazima urudi home kwenu ukiwa majeruhi.
Tena utafikia hospital kabisa kwa kipigo utakachopata.
Hivi si tulikubaliana tutumie lugha ya Nyerere mpaka tununue dikshenare yetu?.... Nyereren't we?Khaaaa.
That dude has balls made of steel.
Umeingia deep sana lakini sio kesi, nimekupata bro.Imagine umezaa na mwanaume au mwanamke alafu hujamuoa ameolewa na mtu mwingine,Then mtoto anaumwa hapo lazima umuambie babaake au mamaake.Unaweza kuficha lakini kifo kikamtwaa je msibani itakuwaje?Je utamzuia mzazi mwenzie kuongozana naye hospitali?je utaenda nao wote wawili hospitali?tafakari.Kuna mzunguuko mpana sana katika haya maisha na nina kisa kimoja cha mtu katika mambo haya ila ni kirefu sana.
Imagine umezaa na mwanaume au mwanamke alafu hujamuoa ameolewa na mtu mwingine,Then mtoto anaumwa hapo lazima umuambie babaake au mamaake.Unaweza kuficha lakini kifo kikamtwaa je msibani itakuwaje?Je utamzuia mzazi mwenzie kuongozana naye hospitali?je utaenda nao wote wawili hospitali?tafakari.Kuna mzunguuko mpana sana katika haya maisha na nina kisa kimoja cha mtu katika mambo haya ila ni kirefu sana.