Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.

Hahaaaaaaa! Mwenzio INTERNATIONAL BANKER, MUME RAIA USA, we baki hivo hivo!
 
MBA YANGU PAPER YANGU ILIKUWA ON MORTGAGE FINANCING, knock ya self out! I know what i know!
 
Hahaaaaaaa! Mwenzio INTERNATIONAL BANKER, MUME RAIA USA, we baki hivo hivo!

HahahaaaaMe local banker wa sacoss na vicoba tho hizo intaneshino benki hata bongo zipo . Mume dereva guta.... Ila mwambieni shosti wenu aache ulimbukeni maana wateteaji ndo anawachoresha na kuwafanya muonekane mashabiki maandazi lol! Maana vingine mnavyotetea havina miguu wala kichwa...
 
Sidhani kama utajiri wake unakuhusu u should be busy thinking about improving your life rather than kukaa na kuwaza utajiri wa mange, just ushauri tu

nani amwaze yeye akiwa kama nani mana nilikuwa namjibu mdau hau aliye ni quote mana kasema mange ni tajiri lazma nimpe facts za ukweli mana kasema tajiri maisha yangu mazuri sana bi dada mana mtu anaongelea feelings huwez mwambia mtu anaona wivu we need evidence ndo shda za wabongo ukwel hawapend
 
MBA YANGU PAPER YANGU ILIKUWA ON MORTGAGE FINANCING, knock ya self out! I know what i know!

Basi ndo ujueeee personal loan kwa banks hasa hizo international ni unsecured scheme au direct au premier loan... Haziitaji dhamana yoyote zaidi ya ajira tu ndugu hata wenye 120,000/- wanakopesheka so sio kigezo chakumshupalia shost wako anakopesheka anakopesheka hata shamim na hiyo ajira yake alokuwa nayo ya darhotwire anakopesheka.
Tuachage thifaaaaaa zisizo kuwa na uzitooo
 
Mimi NIMEJIRIDHISHA HANAAAA PASIPO SHAKA LOLOTE,! Wewe mtazamo wako tu utavojiridhisha its up to you! Ukipenda muone hata shammy anayo

Ndio umejidhiirisha kuwa Wanazo MBA si wamesema wanazo unless otherwise u upload cv ya huyo mdada unayedai kasingizia ana masters wakati hana ila bila huo ushaidi wote mnajigroup kwenye MBA kama Huyo shosti wako ni MBA basi na shoga yake sinta ni MBA....
 
BEEF LIKO CURRENT HAPO KABLA YA BEEF NI IRRELEVANT, ! SHAMIM KABLA HAJAOLEWA ALIKUWA ANAISHI WAPI.? Muangalie na upande wa pili! Hata Moni Finance kabla hajala mchongo wqnu finance manager hakuwa na wasifu niliotoa!

Sasaa hapo shoga unajichanganya sasa na huyo Mange kabla hajaolewa alikuwa anaishi wapi? LA ama?? Bibie au umejisahau ulipoandika haya... kweli nyani aoni kundule...
 
qn of sheba nipe Cv ya Klyn nasikiaa ni balaaaaaaaa hiv alijifunguliaa wapiii???
 
Last edited by a moderator:
qn of sheba nipe Cv ya Klyn nasikiaa ni balaaaaaaaa hiv alijifunguliaa wapiii???

Hahaaa kajifungulia nje ila sijui nchi gani ila bidada wa watu hata picha ya clinic hajaweka ila wenzangu namimi walio accumulate bima ya afya miaka kumi sasa kelele kutwa kucha vyura wana afadhali nawish akiwa na malaria na mafua awe anatuwekea picha kuwa kaenda kutibiwa pale.
 
Last edited by a moderator:
Wapo hadi wabongo ni Raia wa USA na wana pesa chafuu ila hawajitangaziiii,,


Nyie akina dada hebu sikilizeni, Cedars-Sinai Medical Center si hospitali ya kifahari hata kidogo. Ni hospitali ya mafunzo inayoendesha shughuli zake za tiba na utafiti kama taasisi au asasi isiyo ya kutengeneza faida.

Kwa hiyo msidanganywe eti kisa tu mtu kwenda kujifungulia hapo basi ndo iwe hospitali ya kifahari. Hapana. Hata watu wa kawaida tu wasio matajiri wala wasio na umashuhuri wowote ule huenda hapo kupata tiba mbalimbali.

And you can take my word for it because I know what I'm talking about.

Ingekuwa mtu kaenda kujifungulia UCLA Medical Center (ambayo ni private, for profit hospital) hapo kidogo ningeweza kushtuka maana katika Marekani nzima hii hospitali ina rank kwenye top five best hospitals in the US. Na pia ishatoa Nobel laureate katika medicine (Dr. Louis Ignarro). Cedars-Sinai hata kwenye top 10 haipo. Labda top 20.

Cedars-Sinai hata homeless na low-income people huenda kutibiwa! It ain't all that you all are being made to believe it is.
 
Wewe wape tu hata PHD ukitaka mi kesi, na quality group sitaki!
 

asante kwa information mkuu mana hapa watu wameng'ang'ania utafikri cjui nin uzuri kuna watu wanafahamu kudaganya wengne waonekane wako juu yan hapa umemalza kila kitu mara niko juu hospital kim kardashian kajifungulia wapenda mashauzi bwana bora umemalza kila kitu
 

Well, ndo hivyo. Cedars-Sinai kwa bongo tunaweza kuifananisha labda na Muhimbili hivi. Lakini si hospitali ya watu wa matawi ya juu.

Uzuri wa Marekani ni kwamba, facilities zenye ubora wa hali ya juu ni nyingi kiasi cha kuweza kutumiwa na watu wa kada mbalimbali pasipo kuleta tofauti yoyote ile ya kihuduma.
 

mana hapa Nyani Ngabu tumebishana wewe watu wagumu wanasema ni hospital expensive Usa nikawambia kule mbona kila hospital nzuri na facility zake wengne wanataka waonekane juu hatuku reach conclusion bora umemalza mkuu kumbe yenyewe ni kama Muhimbili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…