Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
mana hapa Nyani Ngabu tumebishana wewe watu wagumu wanasema ni hospital expensive Usa nikawambia kule mbona kila hospital nzuri na facility zake wengne wanataka waonekane juu hatuku reach conclusion bora umemalza mkuu kumbe yenyewe ni kama Muhimbili
Kwa ujumla, Marekani hospitali nyingi sana ni nzuri na hazina tofauti yoyote ile iliyokubwa.
Huyo mdada hata angejifungulia North Dakota huko na kurusha picha Instgram hali ingekuwa ile ile tu.
Na nina imani kabisa huyo mdada hakulipa costs zote out of pocket. Nadhani atakuwa ana health insurance kupitia kazi ya mumewe.
Wenye jeuri ya pesa huwa wanaajiri midwives na daktari na wanakuja kukuzalisha nyumbani kwako. Siyo kwenda hospitali!!