Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
mana hapa Nyani Ngabu tumebishana wewe watu wagumu wanasema ni hospital expensive Usa nikawambia kule mbona kila hospital nzuri na facility zake wengne wanataka waonekane juu hatuku reach conclusion bora umemalza mkuu kumbe yenyewe ni kama Muhimbili

Kwa ujumla, Marekani hospitali nyingi sana ni nzuri na hazina tofauti yoyote ile iliyokubwa.

Huyo mdada hata angejifungulia North Dakota huko na kurusha picha Instgram hali ingekuwa ile ile tu.

Na nina imani kabisa huyo mdada hakulipa costs zote out of pocket. Nadhani atakuwa ana health insurance kupitia kazi ya mumewe.

Wenye jeuri ya pesa huwa wanaajiri midwives na daktari na wanakuja kukuzalisha nyumbani kwako. Siyo kwenda hospitali!!
 
Mnachonifurahisha m0ambano wenh as if mange aliwashikia bunduki muingie kwenye blog yake

Au sintah.....
 
Haloooo kantangaze ahsante mkuu...

Wenye jeuri ya pesa akina kylin walotoka bongo kwenda kujifungua nje kwa cost zao sio bima za afya...

Amigos!!!!
 
Umenenaaa jamanii maana we upo US na unaelewaa mi piaa nilishaambiwaaa hospital za mbelee karibia zote ni nzurii pia huduma ni nzurii na mtu yeyote anatibiwa awe tajiri awe masikinii lakin kina misukule washadanganywaaa hahhhhhaghhhha
 
Nyie akina dada hebu sikilizeni, Cedars-Sinai Medical Center si hospitali ya kifahari hata kidogo. Ni hospitali ya mafunzo inayoendesha shughuli zake za tiba na utafiti kama taasisi au asasi isiyo ya kutengeneza faida.

Kwa hiyo msidanganywe eti kisa tu mtu kwenda kujifungulia hapo basi ndo iwe hospitali ya kifahari. Hapana. Hata watu wa kawaida tu wasio matajiri wala wasio na umashuhuri wowote ule huenda hapo kupata tiba mbalimbali.

And you can take my word for it because I know what I'm talking about.

Ingekuwa mtu kaenda kujifungulia UCLA Medical Center (ambayo ni private, for profit hospital) hapo kidogo ningeweza kushtuka maana katika Marekani nzima hii hospitali ina rank kwenye top five best hospitals in the US. Na pia ishatoa Nobel laureate katika medicine (Dr. Louis Ignarro). Cedars-Sinai hata kwenye top 10 haipo. Labda top 20.

Cedars-Sinai hata homeless na low-income people huenda kutibiwa! It ain't all that you all are being made to believe it is.

Umemalizaaa kula bonge likeee mwananguuu
 
Asante sana...thread closed
 
Cc lara1 Adios amigo

Ushabiki wa kufagilia kitu na kusifia kwa kutegemea google muache... Na anajua kuwachota mashabiki wake maandazi balaaa na wanavyomtetea as if aliwapa trip ya kutembelea huko aliko na kujionea yaliyomo yamo?????

Tchaooo bishana na hao akina Ngabu wanaoijua sasa wakupe facts za ukweli si kushabikia picha tu mtu kaenda KFC kupigapicha basi ooh fulani anakula kuku wa kfc ihali ana oda yake ya mishkaki kwa side muuza chipsi lmao!
 
Last edited by a moderator:

Mimi kuna watu humu jfni SWORN ENEMIES siwezi hata kusoma walichoandika maisha yangu!
 
Haloooo kantangaze ahsante mkuu...

Wenye jeuri ya pesa akina kylin walotoka bongo kwenda kujifungua nje kwa cost zao sio bima za afya...

Amigos!!!!

Mjadala uliopita tulisema haya haya kama una kumbukumbu...sasa raisi wa wabeba box nae amekuja kuweka muhuri...watu ni washamba tu coz hawajawahi fika majuu wakaona hali. Ila kama umewahi fika utagundua kuwa ni mambo ya kawaida saaaana na hakuna la ziada. mtu anatoa mf wa stroller kwa mishahara ya dolar 7000, 10,000 , 20,0000, 15,000 nk? kweli ushindwe kutoa dolar 1500 ya strokke??
 
Mnachonifurahisha m0ambano wenh as if mange aliwashikia bunduki muingie kwenye blog yake

Au sintah.....
NA KESHO ASUBUHI LAZIMA WAINGIE TENA, ! Haloooooo! Kama mimi navoingia kwa Sintah (MBA HALOOOOOO,!) Kuwasoma kina Ndito family na wale wachuna mabuzi wanaoomba ushauri! Hahaaaaaaaaaaaaaaa! MJINI KUTAMU SIRUDI KIJIJINI NG'OOOOOO,! Mungu nijalie na mie jiofisi kama la Moni Finance nipunguze umbe nifanye kazi! Mama JJ niajiri nije kukubebea pochi pale Mbezi Africana! Aaaaah!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom