Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
wana ubavu walisahau kuwa hi jf na watu ni ma great thinker wao wakaja na mipasho

Si wamezoea kule wanakopakwa mafuta kwa migongo ya chupa wamesahau huku great thinkers goes with vivid examples hawana ubavu wa kumbishia wanaishia kusema ooh wanaume wanachangia humu, kwani nan kasema hii thread ya girls.. Maneno ya mkosaji hawanajipyaa
 

yeah wamezoea kule kusifiana kusiko kwa msing hata kama kitu hakifai hata ku reason hamna hi ndo jf wajipange hapa twataka strong reason
 
Heeeeee mbona kumepoa ghafla???? jamani kwani shetwani kapita humu?? heee raisi wa wabeba box kavuruga kijiwe ghafla watu wametawanyika???????????? wapi team ronya ronya?

Hahahaaa naona nimeleta machafuko ya hali ya hewa mpaka nimeanza kurushiwa madongo though hayarushwi moja kwa moja.

Oh well...it is what it is. Ila watu wanapotosha mno kupita kiasi. Mpaka hata vyuo ambavyo haviko accredited na ambavyo degree zake hazitambuliki vinafisiwa.

Kaazi kweli kweli.
 
Alafu wewe tangaza maslahi sio unatuchora hapa. Nimekusoma mahali unamquote mtu ukarefer sisi kama haters wa Mange. hakuna haters wa Mange hapa ila tumeomba fact ili na sie tushabikie na tuukubali utajiri wake.

hahahahahaha Mrembo by Nature mi sina maslahi bhana upepo utakaponipeperushia ndo huko huko lol penye sifa mtu apewe stahili zake
 
Last edited by a moderator:

ALL IS FARE IN LOVE AND WAR,! Mbona kuna mtu kasema mzungu kibamia sijui alimla Kiboga ndo akajua kibamia?
Hii nogesha genge tu, shamim wala mange hawawez kumind! So coz ni mtu wa karibu sio Hawa kweli wewe mtoto wa Kota za Polisi? Vipi powder nayo unamuungisha ya kujipaka lakini!
 
wapiiiiiii lara1
Wewe KUNA WATU NINA ALLERY NAO HUMU, MIJADALA YA SISHIRIKI MAISHA YANGU,! Ni sworn enemies wangu, tuahafanyaga raw beef wakafungiwa, toka hapo BAAAAAAAAAAAAAAAASSS.! Ila hoja ZISIZOFUNGAMANA NA ALLERGY YANGU NIPO KUZIJIBU ILA ZENYE MKONO WAKE MZIDISCUSS NYIE,!
 
lara1 mbona unaniangusha shostito hahaha ndo tuseme umesalimu amri he hehehehe mquote ngabu lol au ndo shoka moja mbuyu chini
Kuna watu tuna TOFAUTI MIAKA NA MIAKA MAISHA YANGU YA JF SIWEZI KUSOMA WALICHOANDIKA WALA KUCOMMENT COZ KWANGU NI IMPOSSIBLE NA ITABAKI HIVO REGADLESS YA MADA!

Hoja za direct nazoletewa NIKO ATANDBY KUZIJIBU ila i cant stoop so LOW kushare conversation na my SWORN ENEMIES WALIONITUKANIA MAMA YANGU LIVE ON FORUM WHATS SO EVER,!

Mtu akihitaji aniulize direct!
 
Lara1 Bwana........Hapo kwenye Kuwa Hawa na powder unataka jibu gani nikupe?,,,,,,,,, nway turudi kwenye mada, maana naona unataka kuniattack ilhali mi sikohuko...... Tupo pamoja kwenye fair play mydia just read me between the lines.....
 

mhhhhhhhhhhhhh why unajipa stress za kujitakia lara uwe na allergy na mtu yuko nyuma ya keyboard jamani chukulia poa penye muhimu kama hapa inabidi umjibu maana kukaa kwako kimya kunawapa teamB ushindi wa mezani lol
 

Tumeambiwa mama ni tajiri sana, tulichosisitiza ni kupewa fact ila naona watu wakawa wanapanda wanashuka, kulia kushoto, sasa baada ya raisi kuweka mhuri naona kimyaaaaaaaaaaaa...hii ndio bongo bwana nasikia eti toka enzi za mwalimu watu wanauza maneno mjini bila fact siku zinaenda, ila sasa watu wamepevuka lazima useme why nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Ukiona madongo yanarushwa ujue watu wanajipoza maumivu na hoja hamna. Msumari wako umegongelea penyewe na kama ni kidonda bhaasss kimepata dawa.
 
HEEEE KUMBEEEEE ANGESISEMA HIYO HOSPITAL NI YA JUU WALA USINGESEMAAAAA@ NYANI juuuuu
Alinitukania MAMA YANGU embu fatilia hii forum kama kuna conversation yeyote yakw mi nimetoke au thread? Thubutuuuuuuu yangu! Mama anauma wewe! Acha kabisaaa! Afu bila kisa chochote! Hata aseme nini mimi tofauti? Plus sio lazima aseme mtu NILIGOOGLE NA KURESEARCH NA NILIPATA FACT ZANGU NILIZOHITAJI, MI MTHOMI ETI SISUBIRI KAULI ZA WATU AMBAO EDUCATION LEVEL YAO SIIJUI,
 
mhhhhhhhhhhhhh why unajipa stress za kujitakia lara uwe na allergy na mtu yuko nyuma ya keyboard jamani chukulia poa penye muhimu kama hapa inabidi umjibu maana kukaa kwako kimya kunawapa teamB ushindi wa mezani lol
Mtu ALINIYUKANIA MAMA YANGU.??? Neveeeeeeeeeeeeer! Siwezi oumshushia mama yangu heshima kisa mjadala! Wewe MGENI HUMU HUJUI YALIPOANZIA SO SUIT YOURSELF
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…