Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Lara1 Bwana........Hapo kwenye Kuwa Hawa na powder unataka jibu gani nikupe?,,,,,,,,, nway turudi kwenye mada, maana naona unataka kuniattack ilhali mi sikohuko...... Tupo pamoja kwenye fair play mydia just read me between the lines.....
Hahaaaaaaaa! Nimekunogesha tu, ila bibie mzima? Atakuwa hapiti pande hizi manake wtu kwa kuharishaaaaaaaa! Ni balaaaaaaaa! Fair play inawndelea kama kawaida! Kitu ya TRUTH OR TRUTH,!
 
Hahahaaa kaitangazeee weka kabisa na kwenye Profile education level maana sometime ukijiita msomi na ukafanya mambo against usomi esp masters ni kudhalilisha proffesional yako hivi masters reseach watu wanafanyia google tu na kuconclude then wanagraduate??
Mbona mnadhalilusha elimu zenu kwa ushabiki na mijadala isiyo na tija.. Tuacheni sisi akina sekyuu vere machee tusiojua hata GPA ni nini
 
Mtu ALINIYUKANIA MAMA YANGU.??? Neveeeeeeeeeeeeer! Siwezi oumshushia mama yangu heshima kisa mjadala! Wewe MGENI HUMU HUJUI YALIPOANZIA SO SUIT YOURSELF
mhhhhhhh mama anstahili heshima ya pekee nalijua hilo any way acha niwaachie wenyewe siijui source
 
Nyani Ulitukanaa mama yake lara ni kweliii au mitoso ya kwenye Pm niniiiiii
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa naona nimeleta machafuko ya hali ya hewa mpaka nimeanza kurushiwa madongo though hayarushwi moja kwa moja.

Oh well...it is what it is. Ila watu wanapotosha mno kupita kiasi. Mpaka hata vyuo ambavyo haviko accredited na ambavyo degree zake hazitambuliki vinafisiwa.

Kaazi kweli kweli.

Hahhhhhahhha master za chupiiiiii,hebu nitajie vyuo vinavyojulikanaa sema yoteee hapa utupe elimuuu maanaaa mmhhh
 
Hahahaaa kaitangazeee weka kabisa na kwenye Profile education level maana sometime ukijiita msomi na ukafanya mambo against usomi esp masters ni kudhalilisha proffesional yako hivi masters reseach watu wanafanyia google tu na kuconclude then wanagraduate??
Mbona mnadhalilusha elimu zenu kwa ushabiki na mijadala isiyo na tija.. Tuacheni sisi akina sekyuu vere machee tusiojua hata GPA ni nini
Hahaaaaaaaa! Masters tu ? Kama Sintah kwa vigezo alivotumia Sintah NAJIGEA PHD RASMI HUMU NDANI LEO! Naomba kujulikana kama DR. LARA 1,! Umbea wa PHD ya nini Sitaki! MJINI MIPANGO! FAKE IT TILL YOU MAKE IT! Haloooooo!

RESEARCH ZA UMBEA NI GOOGLE TU, COZ FUNDS ZA KURESEARCH UMBEA ZITATOKA WAPI USAWA HUU.?

Elimu ndo imetufanya tuajirike, tupate vi bundle vya kuja humu kuosh vinywa na kuchonga ngenga! Elimu ina mahala pake, na humu si mahala pake ni KUDISCUSS WATU NA MAISHA YAO NDO DHIMA HAS YA HILO JUKWAA,! Ukitaka kuona elimu yangu nicheki ECONOMIC FORUM sababu ni mahali sahihi!

Your Trully

LARA 1 (PHD) LOL!
 
Bongo mayoooooo! Bongooo eeeh! Ngoja nitoke NDUKI!

Hapana Lara usitoke nduki haya mamaa wa facts mamaa wa MBA mamaa wa research tunataka utupe facts za research za hospt na gharama za hosp alioenda Kylin... Mwaga data au tukupe muda ugoogle then umrate na shosti
 
Hahaaaa Lara sasa nimeelewa kumbe una MBA ya google kwa umbea nkajua ya darasani maana ikiwa ya darasani na humu ungekuwa wa kwanza kuonyesha u griti thinka maana hata waandishi wa udaku walisomea Mass com.
 
Nyani Ulitukanaa mama yake lara ni kweliii au mitoso ya kwenye Pm niniiiiii

Smahani lakini japo umemuuliza raisi. huyu kaka ni moja kati ya watu wanaojiheshimu jf hanaga ishu za kijinga (mf. kutukana ovyo na kukosea watu heshima). Ila kama kweli alitukana basi kutakuwa na sababu tena kubwa.

Hahaha kuna watu wana kauli za ajabu humu mhhhh mfano matola ukipishana nae lazima uvae mask
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wengine hata pesa ya bundle mpaka mkafanye kaziii hahhhhahhhhha sikujuaaaaa mieee
 
Hapana Lara usitoke nduki haya mamaa wa facts mamaa wa MBA mamaa wa research tunataka utupe facts za research za hospt na gharama za hosp alioenda Kylin... Mwaga data au tukupe muda ugoogle then umrate na shosti

Agooglee yaan nyani kamalizaaaaaa no ubishii
 
Ila ugomvi wako na Nyani hauta badilisha fact na ukweli aliousema Ngabu... Usichukulie huo ugomvi wenu kuwa guarantee ya kukataa fact kuwa kutatofaut ya uliyo google ya uongo na waliyo yaandika wanaoijua hospitali husika.
 
Nyani Ulitukanaa mama yake lara ni kweliii au mitoso ya kwenye Pm niniiiiii
Kuna thread inaitwa NATOA USHAURI WA KIMAPENZI ILIKUWA MMU itafute ujiridhishe! Au gfsonwin, Kaunga na baadhi ya watu WALISHUHUDIA LIVE!,!! Tuheshimiane SOME THINGS ARE PERSONAL! Hili swala ni PERSONAL kwangu sio masihra! Mambo ya kina mange na shammy hapo tutafanya mzaha sanaa ila mambo PERSONAL TUHEAHIMIANE! USINIMENTION MENTION BILA SABABU YA MAANA,!
 
Last edited by a moderator:
Hapana Lara usitoke nduki haya mamaa wa facts mamaa wa MBA mamaa wa research tunataka utupe facts za research za hospt na gharama za hosp alioenda Kylin... Mwaga data au tukupe muda ugoogle then umrate na shosti

Jamani mimi ninavyojua umbea nilioupata ni kuwa huyo Kylin clinic alifanyia AMI na kujifungua alijifungulia AMI hakuna cha ufaransa wala nini,
 
Kuna thread inaitwa NATOA USHAURI WA KIMAPENZI ILIKUWA MMU itafute ujiridhishe! Au gfsonwin, Kaunga na baadhi ya watu WALISHUHUDIA LIVE!,!! Tuheshimiane SOME THINGS ARE PERSONAL! Hili swala ni PERSONAL kwangu sio masihra! Mambo ya kina mange na shammy hapo tutafanya mzaha sanaa ila mambo PERSONAL TUHEAHIMIANE! USINIMENTION MENTION BILA SABABU YA MAANA,!

Tuwekee Hapa kutajwa utatajwaa tu mbona povu mapemaa shoga kaumbuliwaaa niniii hahhhhahhhha
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa Lara sasa nimeelewa kumbe una MBA ya google kwa umbea nkajua ya darasani maana ikiwa ya darasani na humu ungekuwa wa kwanza kuonyesha u griti thinka maana hata waandishi wa udaku walisomea Mass com.

Hahaaaaaa! Say what you say BUT I EARNED IT LEGALLY AND I AM PROUD ABOUT IT,! Sikubahatisha wala kuiokota! We furahisha kinywa mimi ngoja niingie kabatini kukagua mali zangu!

WHY MJADALA UNAUGEUZA UNIHUSU MIMI? MBONA MIMI SIKUGEUZII? Tustick tulikoanzia! Nikianza na mimi kukurushia vijembe usilipuke tu! I HAVE A REPUTATION YA KUJUNGUA WATU HUMU!
 
Tuwekee Hapa kutajwa utatajwaa tu mbona povu mapemaa shoga kaumbuliwaaa niniii hahhhhahhhha
Mimi nimefanunua MY PERSONAL ISSUE KIUSTAARABU sasa wewe kama waigeuza ni jst somethin to joke about KNOCK YOUR SELF OUT! Mimi humu ni mstarabu sana wala hamuwezi KUNIPROVOKE! Nishatoa msimamo wangu! Mada mkiniuliza direct najibu, mkimention watu wengine ama kuchokoa kwa namna yeyote I PASS!

Siwezi kuweka kitu MAMA YANGU ATUKANWE MARA YA 2,! ILI IWEJE,.?

Mkijisikia kurudi mada za kina Mange na Shammy nipo hapa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom