lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
Hahaaaaaaaa! Nimekunogesha tu, ila bibie mzima? Atakuwa hapiti pande hizi manake wtu kwa kuharishaaaaaaaa! Ni balaaaaaaaa! Fair play inawndelea kama kawaida! Kitu ya TRUTH OR TRUTH,!Lara1 Bwana........Hapo kwenye Kuwa Hawa na powder unataka jibu gani nikupe?,,,,,,,,, nway turudi kwenye mada, maana naona unataka kuniattack ilhali mi sikohuko...... Tupo pamoja kwenye fair play mydia just read me between the lines.....