Hahaaaaaaaa! Nimekunogesha tu, ila bibie mzima? Atakuwa hapiti pande hizi manake wtu kwa kuharishaaaaaaaa! Ni balaaaaaaaa! Fair play inawndelea kama kawaida! Kitu ya TRUTH OR TRUTH,!Lara1 Bwana........Hapo kwenye Kuwa Hawa na powder unataka jibu gani nikupe?,,,,,,,,, nway turudi kwenye mada, maana naona unataka kuniattack ilhali mi sikohuko...... Tupo pamoja kwenye fair play mydia just read me between the lines.....
Rfer THREAD NA 99% YA WACHANGIAJI, ! Halooooooo!
mhhhhhhh mama anstahili heshima ya pekee nalijua hilo any way acha niwaachie wenyewe siijui sourceMtu ALINIYUKANIA MAMA YANGU.??? Neveeeeeeeeeeeeer! Siwezi oumshushia mama yangu heshima kisa mjadala! Wewe MGENI HUMU HUJUI YALIPOANZIA SO SUIT YOURSELF
Hahahaaa naona nimeleta machafuko ya hali ya hewa mpaka nimeanza kurushiwa madongo though hayarushwi moja kwa moja.
Oh well...it is what it is. Ila watu wanapotosha mno kupita kiasi. Mpaka hata vyuo ambavyo haviko accredited na ambavyo degree zake hazitambuliki vinafisiwa.
Kaazi kweli kweli.
Hahaaaaaaaa! Masters tu ? Kama Sintah kwa vigezo alivotumia Sintah NAJIGEA PHD RASMI HUMU NDANI LEO! Naomba kujulikana kama DR. LARA 1,! Umbea wa PHD ya nini Sitaki! MJINI MIPANGO! FAKE IT TILL YOU MAKE IT! Haloooooo!Hahahaaa kaitangazeee weka kabisa na kwenye Profile education level maana sometime ukijiita msomi na ukafanya mambo against usomi esp masters ni kudhalilisha proffesional yako hivi masters reseach watu wanafanyia google tu na kuconclude then wanagraduate??
Mbona mnadhalilusha elimu zenu kwa ushabiki na mijadala isiyo na tija.. Tuacheni sisi akina sekyuu vere machee tusiojua hata GPA ni nini
Bongo mayoooooo! Bongooo eeeh! Ngoja nitoke NDUKI!
Hahaaaaaaaa! Masters tu ? Kama Sintah kwa vigezo alivotumia Sintah NAJIGEA PHD RASMI HUMU NDANI LEO! Naomba kujulikana kama DR. LARA 1,! Umbea wa PHD ya nini Sitaki! MJINI MIPANGO! FAKE IT TILL YOU MAKE IT! Haloooooo!
RESEARCH ZA UMBEA NI GOOGLE TU, COZ FUNDS ZA KURESEARCH UMBEA ZITATOKA WAPI USAWA HUU.?
Elimu ndo imetufanya tuajirike, tupate vi bundle vya kuja humu kuosh vinywa na kuchonga ngenga! Elimu ina mahala pake, na humu si mahala pake ni KUDISCUSS WATU NA MAISHA YAO NDO DHIMA HAS YA HILO JUKWAA,! Ukitaka kuona elimu yangu nicheki ECONOMIC FORUM sababu ni mahali sahihi!
Your Trully
LARA 1 (PHD) LOL!
Hapana Lara usitoke nduki haya mamaa wa facts mamaa wa MBA mamaa wa research tunataka utupe facts za research za hospt na gharama za hosp alioenda Kylin... Mwaga data au tukupe muda ugoogle then umrate na shosti
Kuna thread inaitwa NATOA USHAURI WA KIMAPENZI ILIKUWA MMU itafute ujiridhishe! Au gfsonwin, Kaunga na baadhi ya watu WALISHUHUDIA LIVE!,!! Tuheshimiane SOME THINGS ARE PERSONAL! Hili swala ni PERSONAL kwangu sio masihra! Mambo ya kina mange na shammy hapo tutafanya mzaha sanaa ila mambo PERSONAL TUHEAHIMIANE! USINIMENTION MENTION BILA SABABU YA MAANA,!
Hapana Lara usitoke nduki haya mamaa wa facts mamaa wa MBA mamaa wa research tunataka utupe facts za research za hospt na gharama za hosp alioenda Kylin... Mwaga data au tukupe muda ugoogle then umrate na shosti
Kuna thread inaitwa NATOA USHAURI WA KIMAPENZI ILIKUWA MMU itafute ujiridhishe! Au gfsonwin, Kaunga na baadhi ya watu WALISHUHUDIA LIVE!,!! Tuheshimiane SOME THINGS ARE PERSONAL! Hili swala ni PERSONAL kwangu sio masihra! Mambo ya kina mange na shammy hapo tutafanya mzaha sanaa ila mambo PERSONAL TUHEAHIMIANE! USINIMENTION MENTION BILA SABABU YA MAANA,!
Hahaaaa Lara sasa nimeelewa kumbe una MBA ya google kwa umbea nkajua ya darasani maana ikiwa ya darasani na humu ungekuwa wa kwanza kuonyesha u griti thinka maana hata waandishi wa udaku walisomea Mass com.
Hahhhhahhha chokozii wewee yaan ulikua unasuburii refa aamuee yaan umeniewahii kusema thread closed
I like that conclusion from @Ngabu
Mimi nimefanunua MY PERSONAL ISSUE KIUSTAARABU sasa wewe kama waigeuza ni jst somethin to joke about KNOCK YOUR SELF OUT! Mimi humu ni mstarabu sana wala hamuwezi KUNIPROVOKE! Nishatoa msimamo wangu! Mada mkiniuliza direct najibu, mkimention watu wengine ama kuchokoa kwa namna yeyote I PASS!Tuwekee Hapa kutajwa utatajwaa tu mbona povu mapemaa shoga kaumbuliwaaa niniii hahhhhahhhha