Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
mpaka kieleweke hatimaye mzizi wa fitna ukavunjwa
Lara nampenda Kylin sijasema vibaya kumchafua ila hii mada ya kujifungulia Ufaransa imezidi mweeeeeeeeeeee ikabidi niseme ninalolijua basi ngoja nifunge lidomo languWe nawe kwanini unamsema A HUMBLE GIRL kama Klyn? Funika kombe mwanaharamu apite! Waache waamini wanacho amini in no time watu wataanza kuharisha hapa mambo ya k, na wasengery wengine mtoto wa watu achufuliwe bureee!
We nawe kwanini unamsema A HUMBLE GIRL kama Klyn? Funika kombe mwanaharamu apite! Waache waamini wanacho amini in no time watu wataanza kuharisha hapa mambo ya k, na wasengery wengine mtoto wa watu achufuliwe bureee!
Angeenda kujifungulia kule Mayo Clinic ya Rochester, Minnesota si ndio ingekuwa balaa!.Kwa ujumla, Marekani hospitali nyingi sana ni nzuri na hazina tofauti yoyote ile iliyokubwa.
Huyo mdada hata angejifungulia North Dakota huko na kurusha picha Instgram hali ingekuwa ile ile tu.
Na nina imani kabisa huyo mdada hakulipa costs zote out of pocket. Nadhani atakuwa ana health insurance kupitia kazi ya mumewe.
Wenye jeuri ya pesa huwa wanaajiri midwives na daktari na wanakuja kukuzalisha nyumbani kwako. Siyo kwenda hospitali!!
dinazarde we unapata wapi bando tuambizane lol
BONGOLICIOUS NEW COLLECTION IMETOKA.! Welcome to Bongolicious mchaguw vitenge in $$$$$ Hahahaaaaaa! Halooooooooo!
Hahhhahhhhahhhhahha washakubalii zimebaki mbwembwe
We huoni wakisema KAJIFUNGULIA FRANCE NDO SWADAKTA,!!! Tena ndani ya hospitali ya mfalme hahaaaaa! Just Zip it! Hii iwe commwnt ya mwisho kumuhusu! CHEZEA ROYAL HOSPITAL,!!! Tunalo hili halooooooooooo!Lara nampenda Kylin sijasema vibaya kumchafua ila hii mada ya kujifungulia Ufaransa imezidi mweeeeeeeeeeee ikabidi niseme ninalolijua basi ngoja nifunge lidomo langu
Kwenye kukesha nimooo na bundle UNLIMITED japo hela nilitoa kiahingo upande!
Nna bima mwenzioo kwa raha zangu Muke ya musukumaaaa..
Angeenda kujifungulia kule Mayo Clinic ya Rochester, Minnesota si ndio ingekuwa balaa!.
Kila mtu ana haki ya kutumia hela zake jamani, mniwachee NI CHOP VI T SHILLINGS VYANGU BONGOLICIOUS,! Mtu chakeeeee! Nguo nazipenda zile mmmh! Mshahara wote wa mwezi huu nanunua NEW COLLECTION YA MY BONGOLICIOUS HALOOOOOOOO,!hahahahaha hivi na wewe unanunuaga ile migauni mireeeeweeefu hata kiatu hakionekani hahahah ndo nitoe $$$$ wajinga ndio waliwao si bora niwape mafundi uchwara wanatoa kitu bomba na tenge linabaki hahah
BONGOLICIOUS NEW COLLECTION IMETOKA.! Welcome to Bongolicious mchaguw vitenge in $$$$$ Hahahaaaaaa! Halooooooooo!
Napumzika...pg ya ngapi sijui
Mwanzisha mada sikumwona tena...hahaha,katupia afu kimyaa!!
Ntaendelea tena nipatapo muda... loooolest
Umeona eeeehh watu tukisema tunaonekana wachimba mihogo wa kwedikwazu. haya sasa raisi wa wabeba box na wasiobeba box kapiga msumari hali imetulia. Sasa shoga wewe hujapewa uwaziri kule?
Mange ana kitoto meen! Hela ananunua maziwa meeeen! Ndo maana nakazana kujikomba kwa Muke ya Jose Mara, bibie Moni Finance aniajiri mbeba pochi pande za Mbezi Beach walau nitumie FAIBA OPTICS na mie meeen! Hahaaaaaaaa!Umerushiwaa western union ninii hahhhhajha maana Mange kwa Sifa hawapishani na Jk lol
Kila mtu ana haki ya kutumia hela zake jamani, mniwachee NI CHOP VI T SHILLINGS VYANGU BONGOLICIOUS,! Mtu chakeeeee! Nguo nazipenda zile mmmh! Mshahara wote wa mwezi huu nanunua NEW COLLECTION YA MY BONGOLICIOUS HALOOOOOOOO,!