Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
We nawe kwanini unamsema A HUMBLE GIRL kama Klyn? Funika kombe mwanaharamu apite! Waache waamini wanacho amini in no time watu wataanza kuharisha hapa mambo ya k, na wasengery wengine mtoto wa watu achufuliwe bureee!
Lara nampenda Kylin sijasema vibaya kumchafua ila hii mada ya kujifungulia Ufaransa imezidi mweeeeeeeeeeee ikabidi niseme ninalolijua basi ngoja nifunge lidomo langu
 
Kwenye kukesha nimooo na bundle UNLIMITED japo hela nilitoa kiahingo upande!
 
Mange kila mtu hapatani naee angekua rafiki wa Klyn, k lyn angeenda kumsalimiaa LA maana uwezo upooo,yeye kila mtu kakosana naeee duuu aisee kina mwamy lol hivi Mange nae ana jumba kama la mwamy Dubai au popotee!????
 
Kwa ujumla, Marekani hospitali nyingi sana ni nzuri na hazina tofauti yoyote ile iliyokubwa.

Huyo mdada hata angejifungulia North Dakota huko na kurusha picha Instgram hali ingekuwa ile ile tu.

Na nina imani kabisa huyo mdada hakulipa costs zote out of pocket. Nadhani atakuwa ana health insurance kupitia kazi ya mumewe.

Wenye jeuri ya pesa huwa wanaajiri midwives na daktari na wanakuja kukuzalisha nyumbani kwako. Siyo kwenda hospitali!!
Angeenda kujifungulia kule Mayo Clinic ya Rochester, Minnesota si ndio ingekuwa balaa!.
 
Hahhhahhhhahhhhahha washakubalii zimebaki mbwembwe

Napumzika...pg ya ngapi sijui
Mwanzisha mada sikumwona tena...hahaha,katupia afu kimyaa!!
Ntaendelea tena nipatapo muda... loooolest
 
Lara nampenda Kylin sijasema vibaya kumchafua ila hii mada ya kujifungulia Ufaransa imezidi mweeeeeeeeeeee ikabidi niseme ninalolijua basi ngoja nifunge lidomo langu
We huoni wakisema KAJIFUNGULIA FRANCE NDO SWADAKTA,!!! Tena ndani ya hospitali ya mfalme hahaaaaa! Just Zip it! Hii iwe commwnt ya mwisho kumuhusu! CHEZEA ROYAL HOSPITAL,!!! Tunalo hili halooooooooooo!
 
Kwenye kukesha nimooo na bundle UNLIMITED japo hela nilitoa kiahingo upande!

Umerushiwaa western union ninii hahhhhajha maana Mange kwa Sifa hawapishani na Jk lol
 
picha zaidi za tukio
 
Attachments

  • shamimu 5.jpg
    shamimu 5.jpg
    42.3 KB · Views: 100
  • shamimu 4.jpg
    shamimu 4.jpg
    34.3 KB · Views: 93
  • shamimu 2.jpg
    shamimu 2.jpg
    32.2 KB · Views: 89
  • shamimu 1.jpg
    shamimu 1.jpg
    34.4 KB · Views: 93
hahahahaha hivi na wewe unanunuaga ile migauni mireeeeweeefu hata kiatu hakionekani hahahah ndo nitoe $$$$ wajinga ndio waliwao si bora niwape mafundi uchwara wanatoa kitu bomba na tenge linabaki hahah
Kila mtu ana haki ya kutumia hela zake jamani, mniwachee NI CHOP VI T SHILLINGS VYANGU BONGOLICIOUS,! Mtu chakeeeee! Nguo nazipenda zile mmmh! Mshahara wote wa mwezi huu nanunua NEW COLLECTION YA MY BONGOLICIOUS HALOOOOOOOO,!
 
Napumzika...pg ya ngapi sijui
Mwanzisha mada sikumwona tena...hahaha,katupia afu kimyaa!!
Ntaendelea tena nipatapo muda... loooolest

Jitahidi usonge songe kesho ukija itakuwa page ya 100 hahahaha ila toka raisi atulize hewa naona spidi imepungua
 
Umeona eeeehh watu tukisema tunaonekana wachimba mihogo wa kwedikwazu. haya sasa raisi wa wabeba box na wasiobeba box kapiga msumari hali imetulia. Sasa shoga wewe hujapewa uwaziri kule?

Ndio wazirii wa mauzo ya vitengee
 
Umerushiwaa western union ninii hahhhhajha maana Mange kwa Sifa hawapishani na Jk lol
Mange ana kitoto meen! Hela ananunua maziwa meeeen! Ndo maana nakazana kujikomba kwa Muke ya Jose Mara, bibie Moni Finance aniajiri mbeba pochi pande za Mbezi Beach walau nitumie FAIBA OPTICS na mie meeen! Hahaaaaaaaa!
 
Kila mtu ana haki ya kutumia hela zake jamani, mniwachee NI CHOP VI T SHILLINGS VYANGU BONGOLICIOUS,! Mtu chakeeeee! Nguo nazipenda zile mmmh! Mshahara wote wa mwezi huu nanunua NEW COLLECTION YA MY BONGOLICIOUS HALOOOOOOOO,!

hahahahahahahha uwiiiiii mbavu zangu mhhhhhh yale magauni mhhhhhhh mwafataga kuuza sura tu wallah guo leeeefu khaaaa kisa cha kujiizeesha hahaha ukipita waonekana wakuja anawapata wapenda sifa usikute mnanunua na kutinga hamtingi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom