Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Sasa mie sitafuti umaarufu uchafu ndio tatizoo,weka si kila kitu anapiga pichaaa waona hayaa lol
HAHAHAAAAAAA! HALOOOOOOO,! Ya kutoa SUPPORTING DOCUMENTS KWA CLAIM YAKO,! Mmmmmmmh!
 
Hajafanya baby shower kwani siri.? Hafanyagi kuanzia Bhoke! Labda ya Itika kama wamjua ndo baby shower ilistua stua Us kidogo.

Ya Kenzo alifanya alikuwa mujini akaenda kujifungulia Dubai
 
Ila jamani Mange hakujikweza aliandika tu amejifungua saa ngapi katika hospital hiyo akaweka na picha watu ambao wamekuza maneno ni sisi wachangiaji

Alisema sana shouger... ndo maana watu wapenda fact wakaenda kuzitafuta fact. mbona waonekana mnyonge? au ni baada ya nahodha kutuliza dhoruba?
 
Hajafanya baby shower kwani siri.? Hafanyagi kuanzia Bhoke! Labda ya Itika kama wamjua ndo baby shower ilistua stua Us kidogo.

Aaaaa wapiii alisema atafanyaaa hahhha alikosa wa kuwaalikaa ninii halaf team zake zote hoiii haziweki paa kwendaa
 
Alisema sana shouger... ndo maana watu wapenda fact wakaenda kuzitafuta fact. mbona waonekana mnyonge? au ni baada ya nahodha kutuliza dhoruba?

Mafua yamebana shoga, ila namuonea huruma Mange kila kona yeye tu jamani mpumzisheni mtoto wa watu analea maana du. Hata hiyo ya stroller aliandika my dream stroller watu wakaenda kugoogle wakaipaisha kweli
 
BABY SHOWER ZWNYE HADHI YA UDRAG LORD NI KAMA HIZI,! Kitu cha MUKE YA ZUNGU LA SPANISH,!
 
Attachments

  • 373.JPG
    19.9 KB · Views: 107
  • IMG_6677.JPG
    150.8 KB · Views: 100
  • IMG_6735.JPG
    193.6 KB · Views: 102
  • IMG_6589.JPG
    250.7 KB · Views: 112
  • IMG_6921.JPG
    160.3 KB · Views: 80
  • IMG_6624.JPG
    177 KB · Views: 79
  • IMG_6845.JPG
    140.2 KB · Views: 84
  • IMG_6733.JPG
    166.6 KB · Views: 86
Aaaaa wapiii alisema atafanyaaa hahhha alikosa wa kuwaalikaa ninii halaf team zake zote hoiii haziweki paa kwendaa

tena abadili tabia yake ana mdomo mchafu hata hvo angemwalika nani mana hana shoga yeye na familia yake hata wa kumpokea hospital hana Shamimu kajitahd sana bana
 
Mafua yamebana shoga, ila namuonea huruma Mange kila kona yeye tu jamani mpumzisheni mtoto wa watu analea maana du. Hata hiyo ya stroller aliandika my dream stroller watu wakaenda kugoogle wakaipaisha kweli
pole mama. Alisema ile stroller ni ya mafashenista wote wanaojua maana ta fasheni. kusema hivyo tayari umejikuza kuwa wewe ni wa class nyingine. ziko stroller za bei kubwa kuliko hyo strokke. kuhusu hospital alisema mwenyewe kwamba hubby amegaramika kumpeleka wanakojifungua mastar wa kwa obama....huo ndio ukweli
 
Kitu hicho! WAPIIIII MAMA NA KATI YA CBE.? Ngoja nikaibe na Devota Diva baby shower tuone baby shower za maana mjini humu! HALOOOOOOOO,! YA PICHA NA MNATO,!

Hzo gari za kukodi ndo kuringishia?
Duuu bongo ASA HV vogue wanakodisha so ukipigia picha nn utatuletea humu?sikujua kama Lara moko limbukeni kiasi hiki
 
tena abadili tabia yake ana mdomo mchafu hata hvo angemwalika nani mana hana shoga yeye na familia yake hata wa kumpokea hospital hana Shamimu kajitahd sana bana

Sanaa ishi na watu upate kituuu
 
BABY SHOWER ZWNYE HADHI YA UDRAG LORD NI KAMA HIZI,! Kitu cha MUKE YA ZUNGU LA SPANISH,!

Tuwekee na ya Mange plizzzzzzzzz maana unakimbila za wenginee tuu hahhhha
 
tena abadili tabia yake ana mdomo mchafu hata hvo angemwalika nani mana hana shoga yeye na familia yake hata wa kumpokea hospital hana Shamimu kajitahd sana bana

angealikwa nani hiyo baby shower?? mjini kagombana na kila mtu, huko LA anaogopa kuzoeana na wabongo coz watasema real life yake wakishamjua as ana brag sana...yuko kama classmate wangu mmoja kipindi maji ya viroba yanauzwa alikuwa anachukua chupa tupu ya maji ya kilimanjaro au uhai anachukua viroba vya 50 50 anamiminia mle ili aonekane nae anakunywa maji ya chupa. Huyo ndio bibi mange...anaishi kimaigizo mno na kukuza hata yale ya kawaida
 
Mafua yamebana shoga, ila namuonea huruma Mange kila kona yeye tu jamani mpumzisheni mtoto wa watu analea maana du. Hata hiyo ya stroller aliandika my dream stroller watu wakaenda kugoogle wakaipaisha kweli

Shogaa mbona ye hapumziki kusema wenzieeeer kila mtu analeaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…