lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
HAHAHAAAAAAA! HALOOOOOOO,! Ya kutoa SUPPORTING DOCUMENTS KWA CLAIM YAKO,! Mmmmmmmh!Sasa mie sitafuti umaarufu uchafu ndio tatizoo,weka si kila kitu anapiga pichaaa waona hayaa lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHAHAAAAAAA! HALOOOOOOO,! Ya kutoa SUPPORTING DOCUMENTS KWA CLAIM YAKO,! Mmmmmmmh!Sasa mie sitafuti umaarufu uchafu ndio tatizoo,weka si kila kitu anapiga pichaaa waona hayaa lol
Huwez juaa atakua yeyeee
Hahhhhhahhhhahhhahhha jamaniiii eti ana mashamba kulee aisee team mange zile nguo wanazoletewaaa zishawababaishaaa mnooo wabishii kinyamaaaa yaan
Hahahahaaaaa! We nawe acha umbea! Unaona rahaaa utamuuu! Hulali!hahahahahaha sio yeye dina niamini huyu ni fans wake tu
Hahahahaaaaa! We nawe acha umbea! Unaona rahaaa utamuuu! Hulali!
Kwahyo wanahongwa nguo?
1 minutw nilikuwa nadiscuss matokeo ya mpira kidogo! One minute!hahahahaha ngoja nivute shuka mie maana naweza kusubiri picha za diva hapa hadi kuche lol
Hajafanya baby shower kwani siri.? Hafanyagi kuanzia Bhoke! Labda ya Itika kama wamjua ndo baby shower ilistua stua Us kidogo.
Ila jamani Mange hakujikweza aliandika tu amejifungua saa ngapi katika hospital hiyo akaweka na picha watu ambao wamekuza maneno ni sisi wachangiaji
Hajafanya baby shower kwani siri.? Hafanyagi kuanzia Bhoke! Labda ya Itika kama wamjua ndo baby shower ilistua stua Us kidogo.
Alisema sana shouger... ndo maana watu wapenda fact wakaenda kuzitafuta fact. mbona waonekana mnyonge? au ni baada ya nahodha kutuliza dhoruba?
Aaaaa wapiii alisema atafanyaaa hahhha alikosa wa kuwaalikaa ninii halaf team zake zote hoiii haziweki paa kwendaa
pole mama. Alisema ile stroller ni ya mafashenista wote wanaojua maana ta fasheni. kusema hivyo tayari umejikuza kuwa wewe ni wa class nyingine. ziko stroller za bei kubwa kuliko hyo strokke. kuhusu hospital alisema mwenyewe kwamba hubby amegaramika kumpeleka wanakojifungua mastar wa kwa obama....huo ndio ukweliMafua yamebana shoga, ila namuonea huruma Mange kila kona yeye tu jamani mpumzisheni mtoto wa watu analea maana du. Hata hiyo ya stroller aliandika my dream stroller watu wakaenda kugoogle wakaipaisha kweli
Kitu hicho! WAPIIIII MAMA NA KATI YA CBE.? Ngoja nikaibe na Devota Diva baby shower tuone baby shower za maana mjini humu! HALOOOOOOOO,! YA PICHA NA MNATO,!
tena abadili tabia yake ana mdomo mchafu hata hvo angemwalika nani mana hana shoga yeye na familia yake hata wa kumpokea hospital hana Shamimu kajitahd sana bana
BABY SHOWER ZWNYE HADHI YA UDRAG LORD NI KAMA HIZI,! Kitu cha MUKE YA ZUNGU LA SPANISH,!
tena abadili tabia yake ana mdomo mchafu hata hvo angemwalika nani mana hana shoga yeye na familia yake hata wa kumpokea hospital hana Shamimu kajitahd sana bana
Mafua yamebana shoga, ila namuonea huruma Mange kila kona yeye tu jamani mpumzisheni mtoto wa watu analea maana du. Hata hiyo ya stroller aliandika my dream stroller watu wakaenda kugoogle wakaipaisha kweli