Sijui kwann wabongo tunakua malimbukeni kiasi hiki
We kwako umeona Sinai ni exclusive sana?
What about john Hopkins may b ?
U guys huyu manger kawapa nn?
MKEO KAZALIA IPI HAPO.? Kiroho safi tu wewe usie limbukeni
Kazalia sumbawanga hospital
Hahaaaaaaaa! WRONG,! ME! PLEASEEEEEEEEEEEEE,! Correct me if you may!
Watu MAJUNGU TUUUU,! Wanamlisha? Toka agombane nao lini kakosa kwenda chooni? Hawampunguzii kitu!
Hahaaaaaaaa! Nimekipenda nafsi yangu imekikubali, KWANI DHAMBI.?
Uliiiona? Usiniambie ulialikwa na wewe? Hahaaaaaaaa! Ilistua kwa uwezo wake kajitahidi kumfanyia mwanae kitu!
lara 1 mtata sana kakamata file za watu wote hapa town, but she is somehow wrong
I think you dont know these guys well hasa shamimu na nsembo na unapokuwa unatoa kauli za uongo kwa watu wanaowafahamu vizuri wanakuona unabwabwaja tuu, ila duuh hizi file sijui unazipatia wap just be careful
Sa mbn mnakirusha kama ghali mavi tu
Acheni ulimbukeni nyie mnatuchosha na kujikombakomba wakat mwenzenu anatanua muguu style bilioni kumridhisha mzungu usikute hata mbwa anapewa shavu sometimes na bosi wenu anapanua
Acheni kutafuta umaarufu mavi huo
kibongo bongo najua umekaririshwa madesa yako darasani na hapa ndo unaona uyamwage. Km nilivyosema kabla ushabiki ndo imeuweka mbele ILA huna hoja ya msingi zaidi ya kutoa povu (maamdishi ya herufi kubwa ni ishara ya panic kwani hata kwa small letters ungeeleweka)
Bye for now hadi hapo kutakapokuwa na fact za ukweli. Kwa chai hizi unazoweka naomba nikuache niendelee na wengine.
HAHAHAHAAAAAAAA,! And he has an opinion! Psheeeeeew!Huyu nae limbukeni tu kama hcho kimaarufu mavi
Hilo mwanajamii one kaclarfy ILA BADO SANAAAA,! DIPLOMA ODINARY KWA MBA PALEASEEEEEEEEEEEEE,!
Not somehow
The thing is amekua fed na data za kuforge
Anyway she does her work fureshiiii na probably analipwa furesh plus hayo manguo dina anayosema wanapewa/hongwa(am not sure)
Waache wapendeze na masters zao za uchochoroni
Sa mbn mnakirusha kama ghali mavi tu
Acheni ulimbukeni nyie mnatuchosha na kujikombakomba wakat mwenzenu anatanua muguu style bilioni kumridhisha mzungu usikute hata mbwa anapewa shavu sometimes na bosi wenu anapanua
Acheni kutafuta umaarufu mavi huo
Hahaaaaaa! MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI MTOTO WA WATU HAJASEMA YA BABY SHOWER KABISAAAA,! Ni bi kibunju na sisi wapambe wa jf ndo tumelianzisha wenyewe kwa wenyewe humu! Walaaaaaa Usimsingizie!nyie ndo wenye majungu sasa wengne kufanya baby shower kinacho muuma nini going to the toilet ni lazma living organism yoyote aende haijalish madongo kuinama au kuinuka
Na kusingekuwa na umuhimu wakuweka hii forum humu kama yeye anawadiscuss wenzake huko kwenye blog yake si tuna mdiscuss humu.. Kama yeye hana muda kwa kuingia humu na sisi hatuna muda wa kuingia kwenye blog yake atleast ingekuwa website asingeandika upuuzi wake angeitumia kibiashara ila kwa vile blog bure aandike na kudiscuss wenzake huko na sisi tunaandika na kumdiscuss huku... Hatulipii na wala hatulipiwi bundle same kwake anaandika anachojiskia na sisi twadiscuss tunavyojiskia..
Kama kumdiscuss yeye ndo kigezo kuwa tuna wivu nae basi nayeye anavyo wasema akina sinta anawivu nao. Thats all
Bado niko na wewe kwa SHAMIM
u keep on telling lies
Yaani unapoteza muda kukaa kusifia mtu huko dubei huyo mange wako hata kujulikana alikuwa hajulikani tuulize tunaoishi huko kuna watu wanalife mpaka unachemka kwanza alikuwa anakaa kwenye apartment vila alikuwa anaziona akipita fanya yako
Hahahahaaaaaa! ALL IS FAIR IN LOVE AND WAR,!I think you dont know these guys well hasa shamimu na nsembo na unapokuwa unatoa kauli za uongo kwa watu wanaowafahamu vizuri wanakuona unabwabwaja tuu, ila duuh hizi file sijui unazipatia wap just be careful
Hehehe watu wana kazi mjini...utashabikiaje kitu bila hoja?? He he mmeamua kuwa ass kisser eehh? ndo maisha mlochagua. Mshahara wenu ni zile ronya eehh? Zile rumbesa za mgawo wa bra, Ch..pi, na ronya zingine muangalie tu msijetoana roho.