Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Wote tukitangaza masters tulizonazo wakina kimambi na nyie vinshunsuda wake mtakaa kweli?
Hahaaaaa! MASTERS NI MUTUALLY EXCLUSIVE EVENTS! KUPATA MMOJA HAKUMZUII MWINGINE KUPATA, WALA UNIVERSAL SET HAIPUNGUI KWA KUPATA MMOJA,! So tutakaa wote tu!
 
Tatizo la pichu za mgao hzo hata uwezo Wa kufikiria unaishiwa duuu ulimbukeni janga la Taifa aisee
YA MKEO IKO WAPI? Jibu hoja ya msingi, Ushasomeka kwenye chupi japo havihusiani na mada!
 
Hahahahaaaaaa! ALL IS FAIR IN LOVE AND WAR,!

Nsembo wala Shamim kiuhalisia hawausiki hapa! Hapa kuna vita kati ya SHAMMY NA MANGE VYA WENYEWE KWA WENYEWE WAUME ZAO HAWAHUSIKI KABISAAAAAAA,! Ndo katika hio vita jina la MR. SEMBE, MR POWDER, MR NGANO, SINTAH MBA HALOOOO YOOOOOOOOTE YAMETOKEA HUKO,! Na ni CYBER BULLYING TU YA MDA MREFU SO WAKICHUKULIA SERIOUS WTAKUWA NA MATATIZO,!

DONT TAKE IT TOO SERIOUS NI FURAHISHA GENGE THWY ARE THE NICE PEOPLE YOU KNOW AND YOU HAD KNOWN FOREVER,!

Capish?

Ofcourse , nasikia CEO wako hana hata hamu ya kuja daslam
 
Ana nini jogoo wa kuchora huyu kutaka kulazimisha mambo as if yuko vijiweni ? Hajui watu tuna critical thinking na tuna analyze mambo kabla ya kuyameza

Elimu.ya kibongo imemzorotesha uwezo wake Wa kufikiria nahisi
Maisha ya kumeza aka kudesa bila kuelewa ndo hay a hajui wata wanajua vitu
 
Mi nomaaaaaaa! Nimepita mtoano na watu kibao! JESHI LA MTU MMOJA! Watu wanaibuka na ujumvi mwingiii wakipigwa swali wanayoyoma kimya kimya! Bado napasha nipo gado!
 
Damn, you guys.

I'm humbly humbled. I truly am.

Niliona watu wamezidi mno kupotosha ndi nikaamua niingie maana kuna sehemu watu walidokeza kuwa eti hata Blue Ivy alizaliwa Cedars-Sinai wakati si kweli hata kidogo!

mana walisema hospital aliyo jifungulia Beyonce na Kim kardashian kwahyo yeye next level uzuri ukaja kukomesha uongo
 
Flattered?
Flattered my as.s
Never do things to impress pipo especially malimbukeni kama ww
Hahahahaaaa! ILE COMMENT YA JUU ULICOMENTIWA NINI? Hahahaa! Sio kila mtu anapenda sifa zako jamani! Hahaaaaa!
 
Fact ya ORDINARY DIPLOMA CBE.? Hahaaaaaa! Au ya kuhmia Mbezi? Mbona maswali yangu aliyakimbia? Hahaaaaaaa!

Kayakimbia wp mbn hujacoment kwenye comment yake kakutajia mpaka barabara na sheli anazojaza mafuta
Jitahidi lakini tumia Google map hope taahira kimambi aka yo boss amakufundisha kutumia ili utudanganye
 
Damn, you guys.

I'm humbly humbled. I truly am.

Niliona watu wamezidi mno kupotosha ndo nikaamua niingie maana kuna sehemu watu walidokeza kuwa eti hata Blue Ivy alizaliwa Cedars-Sinai wakati si kweli hata kidogo!

Mi nachoshangaa kila ukicoment huyu limbukeni Lara hakujb ila tukitoa reference kwako anadakia
Haya Lara moko aka Mzee Wa fact uchwara ukuje basi #nyani ngabu huyu hapa
#lara1
 
Kayakimbia wp mbn hujacoment kwenye comment yake kakutajia mpaka barabara na sheli anazojaza mafuta
Jitahidi lakini tumia Google map hope taahira kimambi aka yo boss amakufundisha kutumia ili utudanganye
Hahaaaaaa! Mi yile namjua hadi kwao Morogoro labda alikohamia nitapajua tu kwa mda wangu!
 
Elimu.ya kibongo imemzorotesha uwezo wake Wa kufikiria nahisi
Maisha ya kumeza aka kudesa bila kuelewa ndo hay a hajui wata wanajua vitu
Nyani kashuka nondo hapa pakawa kimyaaaa... yani hata mtu akikaa anakula chips mahali akaweka pic kwa blog basi watasifia weeee, kasema amejifungua cedar na kuongezea akasema ndiko akina kim wanakotibiwa basi hawa waliojulia ndege fast jet wakashika bango tajir tajir, stroler la dola 1500 nalo likatangazwa eti la fashenista wa ukweli na wabeba bendera km kawa wakavalia njuga bila upembuzi. Mengine wanatia aibu jinsi upeo wao ulivyo wa kisoda
 
HAHAHAAAAAAA,! NAONA WATU WOTE WANAJIFICHA KWA BABU YAO.! Cant you all people here STAND FOR YOURSELVES? Hahaaaaa! Anaehitaji jibu ANICOTE DIRECT NAANGALIA MUVI YA KIKOREA HUKU!
 
Hahaaaaa! MASTERS NI MUTUALLY EXCLUSIVE EVENTS! KUPATA MMOJA HAKUMZUII MWINGINE KUPATA, WALA UNIVERSAL SET HAIPUNGUI KWA KUPATA MMOJA,! So tutakaa wote tu!

Hakuna aliyesema hutapata mama don't deviate the QN
Besides probably the guy who did the coding(programing point of view(wrote codes))for jamii forum#maxen has no masters lakini wewe mm na manshunshuda wenzio wote tupo mpaka mida hii tunatumia hii framework lakini hujawah sikia akiongelea masters
 
YA MKEO IKO WAPI? Jibu hoja ya msingi, Ushasomeka kwenye chupi japo havihusiani na mada!

Ushaambiwa wangu sio limbukeni mama una taka Wa nn au una taka kwenye hcho ki -uturn chenu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom