Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
NIIPATE MARA NGAPI? Hahaaaaaaa! KILA MTU NA MASTERS YAKE AITUMIE ANAVOPENDA,! Wengine tunapenda kuichapia bakora kama hivi kwa raha zetu! Kwani deni si yangu,! Mtu kama yake kaiweka bench that is his business!

Unamchapa nani bakora?
 
hospital aliyojifungulia ndio kweli ma celebrity wengi wamejifungulia hapo lakini kwa delux room ni uzushi mtupu kajifungulia kwenye room ya kawaida tu Bidada anapenda sana kujishaua, nasi watz ni wavivu wa kugoogle. Kwa uhakika zaidi google hapa: Give birth like a star: Inside A-list maternity suites
Uone tofauti ya chumba chake na vyumba vya wenyenazo.

Hawa wakina Lara si wamejitoa akili tu ili wapate hzo fadhila
Inataka wagoogle ili wanyimwe michupi?hahaha
 
Eeeh bundle za.mange hzo?
Anakulisha mpaka kukuvalisha na bundle juu kweli umaarufu gharama
KWANI DHAMBI JAMANI.? If she can afford it WHY NOT.? Haijakatazwa duniani wala mbinguni, ccm wala chadema!
 
Hivi dola 1500 ni nyingi eeeh?
Ndo pesa za kushikia bango kweli?
Seriously fashenista dola 1500 aka Buku hero kweli?
Ndo Lara huyu huyu anayekujaga na vistori vyake vya kujiganya anachuna wanaume mapesa nn?
Mmmh ulimbukeni janga la taifa
Soma thread nzima utajua aina ya mtu unaejibizana nae...mie nilishamuaga kwa kuona kumbe nakimbizana na mtu ambae bado saana kuijua dunia na mambo yake japo anajiaminisha hivyo.
 
Hahaaaaa! NYUMBA YA NINI WEWE HUKU MACHAKANI.??? Mwenzio alisema WAMENUNU NYUMBA LA WANARENOVATE, ! Machakani inabidi mjenge nyie mnaoishi nchi za watu kama digi digi hamna karatasi wala nini mnasubiri ile za mwizi 40! Ila mwenzenu URAIA UHAKIKA, ! WANAE WANA UHAKIKA WA THE AMERICAN DREAM,! Bibi yao ana uwezo si ajabu wakaachiwa TRUST FUND, ! Tutahama mjini humu! Watarithi nyumba ya babu jst a matter of time! Ndo aje kujisumbua saka nyoka huku? Atakuwa mwehu!

Millen lazima ashushe, HANA FUTURE MAREKANI na AMERICAN DREAM ANAISOMA RU HUMU, ! Wote na Odemba aliebahatika zungu choka mbaya. Mwammy ndo ANA PROPERTY/REAL ESTATE MIKOCHENI worth 3B Yes i said B for Billion acha hao unaowataja vijumba tu.

Mzungu yule pale kwao, ana privillages kibao, ata akiwa mfagia bustani benefit kibao, sio nyie mnaenda ulaya adu mnazaa na wapopo au negro basi inakuwa purukushani. MashauI kama yale michosho tu. Klyn usiyaongelee coz sitaki shari mie.

Kwa taarifa yako marekaniwanasheria yao ujenzi ni miezi mitano tu na si zaidi ya hapo sasa toka tumesikia story za nyumba kununuliwa mpaka leo ni mwaka. Ukija kwenye swala la urithi huyo mumewe hakuzaliwa peke yake ananduguze wazungu huwa wanaandika watoto wote kwenye urithi au ikiwa wamezeeka sana wanapaswa kupelekwa kwenye nyumba za wazee basi nyumba yao inauzwa na pesa zinakuwa chini ya usimamizi mwanasheria kulipika hapo kwenye nyumba ya wazee endapo watafariki Kama hela itakuwa imebakia ndio watagawana family.
 
Hawa wakina Lara si wamejitoa akili tu ili wapate hzo fadhila
Inataka wagoogle ili wanyimwe michupi?hahaha

Hahahaaaaaaaaaa! Hio michupi basi atakuwa na KIWANDA! Chupi tuvae sie roho ziwatoke nyie mbona majngaaaaa!
 
Hahaaaaaaa! Leta ubishi bwana niweke heshima jf! Namna hiinunaua band! IM THE BAD GUY HERE IN JF REMEMBER,!

He he he uneahindwa kiweka heshima mtaan unalaImisha heshima Jf
Name mexane apewe nn sasa?
Tulia we limbukeni kamchambe mange upate mkate wako Wa kila siku
 
Google hyo "URL"unyimwe fadhila manyokooo
NO BODY TELLS ME WHAT TO DO, I DO WHAT I FEEL LIKE DOING ITS A FREE COUNTRY,! Labda bosi Mange aseme ni google nisije kosa MICHUPI YA VIP MIE! HAHAHAAAAAA.,!

WE SI ILIANZA KWA KUDAI MIMIMIMANI YANGU KAZALIA SINAI SI KWELI.? Haloooooo! Naona kote kote upo CCM NA CUF,!
 
He he he uneahindwa kiweka heshima mtaan unalaImisha heshima Jf
Name mexane apewe nn sasa?
Tulia we limbukeni kamchambe mange upate mkate wako Wa kila siku
Embu cheki LIKES na REP POWER KIDOGO BASIIIII ndo ujue mimi NOMAAAAA,!
 
Hahahaaaaaaaaa! You wish? Mwenzio Dina si alikuwa ananiponda bundle nazipata kwa jasho hizi na POLE alinipa?

Afu unajiaibisha kutoa LAME ALLEGATIONS MANGE ANANILISHA NA HAUNA EVIDENCE HATA ROBO,! U great thinker wako uko wapi?

Simple logic
Unamtetea limbikeni na huna fact (probably u have but za kuforge)
Tukuelewaje?
Connect the dots
Plus dina asilale sababu ya ishuzi wako?manina mwache alee ndoa huko ape we vitu vitamu kama yuko peponi we guberi tulia tuone kama mange atakutumia hata dildo
 
Kwa taarifa yako marekaniwanasheria yao ujenzi ni miezi mitano tu na si zaidi ya hapo sasa toka tumesikia story za nyumba kununuliwa mpaka leo ni mwaka. Ukija kwenye swala la urithi huyo mumewe hakuzaliwa peke yake ananduguze wazungu huwa wanaandika watoto wote kwenye urithi au ikiwa wamezeeka sana wanapaswa kupelekwa kwenye nyumba za wazee basi nyumba yao inauzwa na pesa zinakuwa chini ya usimamizi mwanasheria kulipika hapo kwenye nyumba ya wazee endapo watafariki Kama hela itakuwa imebakia ndio watagawana family.

bora useme mana watu wakishamezeshwa kitu hata hawawez ku reason ni kuandka tu ili waonekane
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom