Kwa taarifa yako marekaniwanasheria yao ujenzi ni miezi mitano tu na si zaidi ya hapo sasa toka tumesikia story za nyumba kununuliwa mpaka leo ni mwaka. Ukija kwenye swala la urithi huyo mumewe hakuzaliwa peke yake ananduguze wazungu huwa wanaandika watoto wote kwenye urithi au ikiwa wamezeeka sana wanapaswa kupelekwa kwenye nyumba za wazee basi nyumba yao inauzwa na pesa zinakuwa chini ya usimamizi mwanasheria kulipika hapo kwenye nyumba ya wazee endapo watafariki Kama hela itakuwa imebakia ndio watagawana family.[/QUOTE
Urithi ngoja wafe kwanza ndo tutajua mbivu na mbichi! Nyumba si anapaaa jamani au ni HOMELESS kule? Sio mpaka akinya apost mjue! Alisema yu nina kiproject nakifanya, SIO DENI ATOE UPDATE,!
Hivo jibo watu walisema hakanyagi Us, blah blah, wakati anajitanua huko huko in NO TIME!