Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Mbona hazikukauki mdomoni yakheeeeee? Kila neo chipi kiungio! No be small matter to you oooooh? Kama unahisi tunafaidi njoo ipate CHUPI LA TMK HAHAHAHAAAAAAAAA,!

Hehehehe mama niache na Kazi yangu ya ulinzi hii hii but masuala ya kupendeza kama tunakaa masaki au tunakula KFC au MacDonald's wakat kuanzia pichuu ni kwa boss mange hapana mwanawane hata ukikose kisu cha mnduku siwez kua limbukeni kama wewe
 
FACT GANI NAULIZAAA? MTO FACT MBONA HAYUPO.? Nilimuuliza MASWALI YANGU KIMYAAAAAAA,! Diploma na kuhamia mbezi nili niliadjust NEXT ISSUE.? Sijiyoi ufahamu lolote, MIMI NOMAAAAA! Nyie kama mmenawaaaaa haya! Anaekuja naenda nae kama kawa!

tunataka fact mbona umemng'ang'ania shamimu sana kakuchukulia nini wewe una masters heri yako mwache na na diploma yake umejuaje kama ni yeye mana wana fake id and its seems your not arguing critically madame
 
Hv huku nako wanaume wanachangia umbea wa mjini??
Nimeangalia kinachoendelea hapa hata hakieleweki. Wanawake wenye hapa na hao wanaotajwa ni ma-parasites,zero brain wako tu kuwezeshwa na waliochumia juani.

Ujinga tu!!

The king.
 
HAHAHAHAAAAA! WANAUME WA HUKU TWASHINDA NAO VIBARAZANI, BABY SHOWER NAZO WAMOO, VISTROLLER BEI WAJUA, NA BEI YA CHUPI ZA KIKE PIA WAZIJUA! Wazoeeeeee tu! Tutafanyaje unadhani?
 
Heheheheh Noma sana aisee malombukeni mnajuana
Kaongoza NCHI 10YRS, KASHIKA NAFASI AU HUKO wewe baki tu kurusha bijembe jf coz its the only thing you are good ay, kuchambana na mie mwanamke wa jf kwenye baby shower ya jf! halooooooooooooooo! shosti langu hilo la ukweeee!
 
HAHAHAHAAAAA! WANAUME WA HUKU TWASHINDA NAO VIBARAZANI, BABY SHOWER NAZO WAMOO, VISTROLLER BEI WAJUA, NA BEI YA CHUPI ZA KIKE PIA WAZIJUA! Wazoeeeeee tu! Tutafanyaje unadhani?

Hzo pesa za vicontroler unatoa kwa bibi zenu au ukikaa tu zinqmwagika kutoka mifukoni?
 
Heheheheh kwahyo Ikidia buku ndo huendi kukata gogo au unageuka Wa dhahabu?
Inaonesha watu wanawvo kuview humu! Halooooo! NUMBERS DONT LIE! Nikipiga RATIO hapo karibu kila post ina LIKE! Halooooooooooooooo!
 
Kaongoza NCHI 10YRS, KASHIKA NAFASI AU HUKO wewe baki tu kurusha bijembe jf coz its the only thing you are good ay, kuchambana na mie mwanamke wa jf kwenye baby shower ya jf! halooooooooooooooo! shosti langu hilo la ukweeee!

Kaongoza nchi kwa hyo doctorate yake?
Now nimemwelewa #nyani ngabu We kweli.juha
 
Hzo pesa za vicontroler unatoa kwa bibi zenu au ukikaa tu zinqmwagika kutoka mifukoni?
JAMANI SHOSTI HATA VIBARAZANI SI NIMEWAKARIBISHA, NA CHUPI ZEYU ULIVOZIKOMALIA LEO.? Au na wewe wataka uone ukivaaaa inakaaje? Halooooooo! Baby shower ijayo ya Sintah usikose shosti langu mie!
 
Kaongoza nchi kwa hyo doctorate yake?
Now nimemwelewa #nyani ngabu We kweli.juha
How can you separate a mans education and his achievements? Come on you are better than this KULIKO SHOSTI ALIE IGNORE CASHFLOWS! Haloooooooo!
 
jamani shosti hata vibarazani si nimewakaribisha, na chupi zeyu ulivozikomalia leo.? Au na wewe wataka uone ukivaaaa inakaaje? Halooooooo! Baby shower ijayo ya sintah usikose shosti langu mie!

sifa za kijinga
 
MPOOOOOOOOOOOOOO? Yani mmenishindwa kweli kabisaaa? Aaaaaaaah? You are better tha this?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom